Saturday, January 28, 2017

2-0 Wolverhampton Wanderers wanaongoza dhidi LiverpoolLiverpool bado wako nyuma ya bao 1-0. Wolverhampton Wanderers tayari wanaongoza bao dhidi ya Liverpool kwa bao la dakika ya 1 la Richard Stearm...
MENEJA wa Arsenal Arsene Wenger amefungiwa Mechi 4 na kutwangwa Faini ya Pauni 25,000 na FA, Chama cha Soka England, kwa Kosa la Utovu wa Nidhamu alipopatikana na hatia ya kumkashifu Refa na pia kumsukuma Refa Msaidizi. Wenger, mwenye Miaka 67, alimsukuma Refa Msaidizi Anthony Taylor baada ya Refa wa Mechi yao na Burnley Jon Moss kumuamuru kutoka Uwanjani kwa kutoa Lugha chafu. Kifungo...
RAUNDI ya 4 ya Kombe Kongwe Duniani, FA CUP, imeanza kwa Sare ya 2-2 wakati Timu ya Daraja la chini Derby County ikiwa Nyumbani kwao ilipowavaa Mabingwa wa England Leicester City. Wakiwa nyuma kwa Bao 2-1, Leicester walinusurika kichapo baada ya Kepteni wao Wes Morgan kusawazisha Dakika ya 86 na sasa Mechi hii itarudiwa huko King Power Stadium Nyumbani kwa Mabingwa hao wa England ili kupata...
MECHI za Robo Fainakli za AFCON 2017, Mashindano ya 31 ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, zitaanza Jumamosi Januari 29 kwa Mechi 2 kati ya Burkina Faso na Tunisia na kufuatia ile ya Senegal na Cameroon. Kati ya hizo Mechi mbili ile ya Senegal na Cameroon ndio yenye mvuto na mashamsham hasa baada ya Senegal kucheza vizuri mno kwenye Mechi zao za Kundi B kwa kuzifunga Zimbabwe na...
Beki wa Sunderland Papy Djilobodji amefungiwa Mechi 4 baada ya kukutwa na hatia ya kucheza kwa fujo. Beki huyo mwenye Miaka 28 alipinga Kosa lake ilipodaiwa alimpiga Usoni kwa Mkono Mchezaji wa West Bromwich Albion Darren Fletcher wakati Timu yake ikichapwa 2-0 Jumamosi iliyopita kwenye Mechi ya EPL, Ligi Kuu England. Tukio hilo halikuonwa na Waamuzi wa Mechi hiyo na kupitiwa na Jopo Huru...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa kuridhia kufunguliwa tena Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kadhalika, TFF inamshukuru Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kwa juhudi zake na kwamba namna aliyoonesha ushirikiano kufanikisha suala la kufunguliwa uwanja huo uliofungiwa...
BEKI wa Sunderland Patrick van Aanholt anafanyiwa upimwaji Afya yake huko Crystal Palace baada Klabu hizo mbili kuafikiana Dili inayotegemewa kufikia Pauni Milioni 14. Beki huyo wa Kimataifa wa Netherlands mwenye Miaka 26 ataungana tena na Bosi wa Palace Sam Allardyce ambae walikuwa nae wote Sunderland. Van Aanholt alianza kuchezea Chelsea lakini akapelekwa kucheza nje kwa Mkopo kewenye...
Kwa mara nyingine tena Refa Jon Moss amemkwaruza Meneja wa Manchester United Jose Mourinho baada ya maamuzi yake kwenye Mechi ya Pili ya Nusu Fainali ya EFL CUP hapo Jana kumkera Mreno huyo wakati Hull City ikiifunga Man United 2-1. Licha ya kipigo hicho, Man United imetinga Fainali ya EFL CUP baada ya kuifunga Hull City 2-0 katika Mechi ya kwanza na hivyo kusonga kwa Jumla ya Mabao 3-2...
LIGI DARAJA LA KWANZA Mechi namba 34 (Pamba vs Friends Rangers). Kamishna wa mechi hiyo Mnenge Suluja amepewa Onyo Kali kwa kutoripoti kitendo cha timu ya Pamba kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mechi (pre match meeting) ikiwa na wawakilishi watatu badala ya wanne. Kitendo hicho ni kinyume na Kanuni ya 14(2b) ya Ligi Daraja la Kwanza. Mechi namba 35 (Kiluvya United vs Lipuli). Timu ya Lipuli imepewa Onyo Kali kwa kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mechi (pre match meeting) ikiwa...

Friday, January 27, 2017

Ongeza kichwa ...

Saturday, January 21, 2017

Ni taarifa rasmi kutoka IKULU Dar es salaam juu ya maamuzi mapya ya Rais John Pombe Magufuli ambaye leo January 21 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Cheo cha mwisho alichopewa Anne Kilango kilikua ni ukuu wa mkoa wa Shinyanga lakini April 11 2016 Rais Magufuli alitengua uteuzi...
Usiku wa January 21 2017 wawakilishi pekee wa ukanda wa Afrika Mashariki katika michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON 2017, timu ya taifa ya Uganda ilitolewa rasmi katika michuano ya mataifa ya Afrika yanayoendelea nchini nchini Gabon. Uganda wameaga mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Misri...
Ay ambaye ni staa wa smash hit ya ‘zigo’ na kwasasa akiwa ana brand new single na Nyasinski amechukua time yake na kuwaandikia Wasanii wenzake yafuatayo >>>> ‘Ndugu zangu Wasanii wa kibongo, Wadau na Mashabiki wa muziki nimeona sio vibaya kuwashirikisha na nyie jambo hili‘ ‘Ili ...
January 21 2017 Mabingwa watetezi wa Kombe la ASFC klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilishuka dimba kuanza kutetea taji lake hilo, kwa kucheza dhidi ya Ashanti United katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4...
1-1Juan Mata kawapa zawadi Stoke City dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza.Mata kajifunga bao dakika ya 19 na kuwapa zawadi Stoke City kipindi cha kwanza. mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika United 0 Stoke City 1.Man United kwenye harakati za kupunguza pengo na kusonga mbele...
Bao za liverpool zilifungwa na Roberto Firmino dakika ya (55' na dakika ya 69') Huku bao za Swansea City zikifungwa na Fernando Llorente dakika ya (48' na dakika ya 52') Kipindi cha pili Gylfi Sigurdsson akiwafungia bao la ushindi dakika ya (74') na mtanange kumalizika dakika 90 kwa Swansea kujikwamua mkiani na kupanda juu na kuwashangaza Mashabiki wa Majogoo na kwenye Uwanja ...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi huo unaanza mwaka huu 2017 hadi 2021. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Januari 18, 2017 iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura inasema: “Tuna faraja kukufahamisha kuwa umeteuliwa kuwa...
Ligi Kuu England RATIBA Jumamosi Januari 21 15:30 Liverpool v Swansea City 18:00 Bournemouth v Watford 18:00 Crystal Palace v Everton 18:00 Middlesbrough v West Ham United 18:00 Stoke City v Manchester United 18:00 West Bromwich Albion v Sunderland 20:30 Manchester City v Tottenham Hotspur Jumapili Januari 22 15:00 Southampton v Leicester City...
MANCHESTER City sasa wameruhusiwa kumtumia Staa Mbrazil wa Miaka 19 Gabriel Jesus kwenye Mechi yao ya EPL, Ligi Kuu England, ya kesho Jumamosi dhidi ya Tottenham Hotspur. City walishafikia makubaliano na Klabu ya Brazil Palmeiras tangu Mwezi Julai Mwaka Jana kumnunua Kinda huyo wa Brazil mwenye Miaka 19 kwa Dau la Pauni Milioni 27 na pia kukubali Mchezaji huyo abakie Palmeiras hadi...

Wednesday, January 18, 2017

 Wasichana wanne wa Tanzania wakiaga  kwa kupungia mikono huku wakiwa na , Bendera ya Taifa waliyokabidhiwa na Kamishna Mkuu wa Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), Symphorosa Hangi katika hafla ya kuwaaga kwenda Uganda ambako watakutana na wenzao 31 kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati katika mafunzo ya uongozi na utamaduni katika nchi hizo. Hafla hiyo ilifanyika...

waliotembelea blog