Bale akipongezwa kwa bao lake la kwanza kwa Real Bale na Cristiano RonaldowakipongezanaRonaldo akishangilia PatashikaVuta nikuvut...
Sunday, November 29, 2015


Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) leo hii
imekabidhiwa bendera ya Taifa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel katika
hosteli za TFF zilizopo Karume jijini Dar es salaam. Akiongea wakati wa
kukabidhi bendera kwa timu hiyo ya vijana, Ole Gabriel amewashukuru TFF
kwa kuwekeza katika soka la vijana, na kusema...


Tottenham
wameikosa nafasi ya kupanda kwenye Ligi Kuu England na kukamata Nafasi
ya 4 baada ya kutoka 0-0 na Chelsea kwenye Mechi ya Dabi ya London
iliyochezwa White Hart Lane.Sare hii imewabakisha Tottenham Nafasi ya 5 na kuwaweka Chelsea Nafasi ya 14. Katika
Kipindi cha Kwanza, Kipa wa Chelsea, Asmir Begovic, ndie alisumbuka
sana kwa kuokoa michomo kadhaa ikiwepo ile ya out Son Heung-min,...


Schweinsteiger aliisawazishia bao Man United katika dakika ya 45 kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko sare ya 1-1.
Kipindi cha kwanza dakika ya 24 Vardy anaipa bao la kuongoza Timu yake Leicester City na kuongoza bao 1-0 dhidi ya Man United.VIKOSI:Leicester City wanaoanza XI: Schmeichel, Simpson, Morgan, Huth, Fuchs, Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton, Okazaki, VardyAkiba: De Laet, King,...
Saturday, November 28, 2015


LIGI KUU ENGLAND:
Jumamosi Novemba 28 1800 Aston Villa v Watford 1800 Bournemouth v Everton 1800 Crystal Palace v Newcastle 1800 Man City v Southampton 1800 Sunderland v Stoke 2030 Leicester v Man United Jumapili Novemba 29 1500 Tottenham v Chelsea 1705 West Ham v West Brom 1915 Liverpool v Swansea 1915 Norwich v Arsenal...


Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani ambaye amewahi kuifundisha kwa mafanikio klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola amekuwa akihusishwa kutakiwa kujiunga na klabu ya Manchester City ya Uingereza kwa muda mrefu sasa ila November 27 ameingia tena katika headlines kuhusiana na mpango huo.
Headlines za kocha huyo kuwa njiani...


November 27 mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee vitu vitatu exclusive usivyovifahamu kutoka kwa staa wa soka wa Tanzania aliyewahi kutamba na vilabu vya Simba na Yanga Danny Mrwanda, wengi tumezoea kumsikia na kumuona akipachika magoli uwanjani ila November 27 ana majibu matatu kuhusu maisha yake ya soka.
1- Kama ulikuwa hufahamu Danny Mrwanda
...


Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris
iliingia katika headlines November 13 2015 baada ya kufanyika shambulio
la kigaidi, tukio ambalo lilifanya baadhi ya wachezaji wa Paris Saint Germain kuogopa kurejea Paris kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.
Tukio la shambulio la...


Hii ni kwa watu wangu wa nguvu wapenda soka la Ulaya, Ligi Kuu soka Tanzania
bara imesimama ila barani Ulaya Ligi bado zinaendelea kama kawaida,
Ligi Kuu Uingereza inaendelea tena Jumamosi ya November 28 na Jumapili
ya November 29 sawa na Ligi Kuu Hispania (LALIGA). Hispania itachezwa michezo tisa weekend hii wakati Uingereza itachezwa michezo...


Licha ya kuwa mwaka 2015 staa wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kufanya mipango yake mingi na kwa asilimia kubwa kufanikiwa, miongoni mwa ishu alizofanya Cristiano Ronaldo kwa mwaka 2015 ni kuzindua movie ya maisha yake halisi, perfume, viatu vyake lakini hii sio taarifa njema...
Thursday, November 26, 2015


FC Barcelona na Neymar zinakaribia kusaini Mkataba mpya ambao utamfanya Kepteni huyo wa Brazil kuzoa Euro Milioni 15 kwa Msimu. Donge
hilo nono litamfanya awe Mchezaji wa 3 Duniani anaelipwa Mshahara wa
juu kabisa akiwa nyuma ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Hivi sasa Neymar inasemekana analipwa Euro Milioni 8.8 kwa Mwaka. Habari
hizi zimetobolewa na Jarida la Marca huko Spain ambalo...


Jana klabu ya Manchester City ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Juventus ikiwa ni ligi ya mabingwa Ulaya.
Kiungo wa Juve Paul Pogba
jana usiku alionesha uzalendo kwa taifa lake hilo baada ya kuvalia
viatu maalumu vyenye rangi ya bendera ya Ufaransa kama sehemu
ya kuwaenzi wahanga wa shambulio la kigaidi lililotokea katika jiji...
Wednesday, November 25, 2015


Mpaka
dakika 90 zinakatika hakuna mbabe! huku Man United ikipata nafasi
nyingi za kufunga na kushindwa kuziona nyavu za wapinzani wao kwenye
Uwanja wa Old trafford.DepayMartial akivutwa jezi!Van GaalRooney akiendesha mpiraVIKOSI:Manchester United: De Gea, Darmian, Smalling, Rojo, Blind, Schweinsteiger, Schneiderlin, Lingard, Rooney, Memphis, Martial.Akiba: Romero, McNair, Young, Fellaini,...
Subscribe to:
Posts (Atom)