Sunday, June 22, 2014

Xabi Alonso, Kiungo wa Real Madrid, ametangaza kustaafu kuichezea Nchi yake Spain.Alonso, Miaka 32, amekuwa mmoja wa kiini cha mafaniko ya Spain iliyotwaa EURO 2008 na EURO 2012 pamoja na Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Mwaka 2010.Juzi Alonso aliichezea Spain Mechi yake ya 112 ilipofungwa 2-0 na Chile kwenye Mechi Kundi B na kutupwa nje ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil.Kwenye...
WORLD CUP 2014: NIGERIA 1 vs BOSNIA-HERZEGOVINA 0, PETER ODEMWINGIE AWAPATIA USHINDI NIGERIA.. 1-0, Peter Odemwingie kushoto akishangilia bao lake lililotosha kuwapatia alama 3 muhimu na kuwawezesha kuwa na jumala ya pointi 4 na wako nafasi ya pili kwenye kundi lao na mtanange ujao kwa Nigeria ni jumatano tarehe 25 saa moja kamili.Peter Odemwingie dakika ya 29 aliifungia bao timu yake baada...

Friday, June 20, 2014

Warembo wanaowania taji la mkoa wa Tanga, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijiaandaa kufanya usafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ikiwa ni moja ya kampeni ya kuendelea kulifanya jiji hilo liwe safi muda wote. Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakitupa takataka katika gari maalum la kubeba taka. Mshindi wa kwanza katika shindano hilo atapata zawadi ya gari dogo...
Suarez baada ya kuimaliza England kwa bao 2-1.Luis Suarez akishangilia bao lake baada ya kuifungia Uruguay kwa bao la kichwa katika kipindi cha kwanza dakika ya 39 baada ya kupata ushirikiano mzuri  kutoka kwa Edinson Cavani. Dakika ya 75 Wayne Roone ndie aliyeisawazishia bao England baada ya mabeki wa Uruguay kujisahau na hatimaye Glen Johnson kumsogezea mpira Roone na...

Thursday, June 19, 2014

Itakuwa Mechi ya ‘Kufa na Kupona’ maana yeyote atakaefungwa atakuwa na nafasi finyu mno kutinga Raundi ya Pili ya Fainali za Kombe la Dunia baada ya zote, England na Uruguay, kufungwa Mechi zao za Kwanza za Kundi D.England walichapwa 2-1 na Italy na Uruguay kudundwa 3-1 na Costa Rica.Wachezaji wa England wakijifua Sao Paulo masaa 24 kabla ya kukutana uso kwa uso na UruguayMeneja wa England...

Wednesday, June 18, 2014

Ligi kuu England itaanza Agosti 16 na leo hii Ratiba ya Msimu mpya wa 2014/15 imetangazwa. Mabingwa Manchester City wataanza Ugenini na Newcastle wakati Meneja mpya wa Manchester United, Louis van Gaal, atakuwa Nyumbani Old Trafford kucheza na Swansea City. Arsenal wataanza Nyumbani kucheza na Crystal Palace na Chelsea wako Ugenini kuivaa Timu mpya iliyopanda Daraja Burnley. Siku hiyo ya...

Monday, June 16, 2014

Bao la pili kwa Argentina lilifungwa na Staa Lionel Messi alipowachambua mabeki na kuachia shuti kali kipindi cha pili dakika ya 65, Akipewa pasi safi na Gonzalo Higuaín.  Mchezaji aliyeingia kipindi cha pili akitokea benchi Vedad Ibisevic aliwafunga Argentina bao la kizembe katika dakika ya 84 baada ya wachezaji wa Argentina kupeana pasi hewa hisiyokuwa na macho na hatimaye...

Saturday, June 14, 2014

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameizawadi kwa kuifadhili timu ya taifa ya soka Harambe Stars ziara ya kwenda Brazil kutazama michuano ya kombe la dunia Hafla ya kuikabidhi rasmi ufadhili huo timu hiyo, ilifanyika katika ikulu ya Rais Ijumaa ambapo wachezaji kumi na moja wa timu hiyo walikabidhiwa tiketi za ndege kwenda Brazil. Kitendo cha Rais bila shaka ni jambo la kutaka kuwatia motisha...
Mchezaji wa Chile Gary Medel akimwendesha mchezaji wa Australia Tim Cahill Mfungaji wa bao la kwanza wa Chile Alexis Sanchez  akimfunga kipa wa Australia Maty Ryan Sanchez akishangilia bao lake la kwanza kwa ChileSanchez akishangilia bao lake la kwanza dhidi ya Australia..Mauricio Isla akiteleza kumpongeza  Sanchez kwenye konaMchezaji wa  Chile Jorge Valdivia ndie aliyeifungia...
Darly Janmaat  na Diego Costa wakiendana sambambaWasley Sneijder akifanya yakeSergio akiwekewa kigingi na NigelDiego Costa vipi...unasababisha penati...Mzee Mzima Alonso ndie aliyeipa bao kwa mkwaju wa penati SpainXabi Alonso akishangilia baoVan Persie akitupia kusawazisha...1-11-1....Van Persie akimpagawisha kipa wa Spain kwa bao la kiwangoVan Persie akishangilia bao lake Nipe tano...

waliotembelea blog