BAO za Arsenal zimefungwa na Joel
Campbell dakika ya 25, Aaron Ramsey dakika ya 72 na lile la Olivier
Giroud dakika ya 75 na mtanange kumalizika kwa bao 3-1 dhidi ya
Sunderland.
BAO la Sunderland limefungwa na Jeremain Lens dakika ya 17
1-1 na mpira kwenda mapumziko

BAO la Sunderland limefungwa na Jeremain Lens dakika ya 17
0 maoni:
Post a Comment