Tuesday, January 12, 2016

Mtu wangu wa nguvu January 12 katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na list ya majina ya utani ya mastaa watano wa soka. Katika maisha kila mmoja anaweza akawa na jina la utani ambao huenda kapewa na familia yake au washikaji zake mtaani au kwa sababu ya umahiri wake uwanjani ndio anaweza kujkuta kapewa jina. January 12 naomba nikusogezee...
Mchezaji Bora wa Mwaka 2015 kwa Wachezaji wa Ndani, mchezaji wa Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo, Mbwana Samatta. BAADA ya kushinda Tuzo ya Afrika kama Mchezaji Bora wa Mwaka 2015 kwa Wachezaji wa Ndani, mchezaji wa Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo, Mbwana Samatta anatarajiwa kupongezwa na kuagwa rasmi na mashabiki wake leo ndani...
 Naibu waziri  Wizara ya Kazi Vijana na Ajira Anthony Mavunde ( wa pili kushoto) akiwa na Mkurugenzi mkuu wa Airtel Bw, Sunil Colaso,akifatiwa na Mshauri wa Airtel Fursa, Eng George Mulamula kwa pamoja wakionyesha bango kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Airtel Fursa msimu wa pili. Akishuhudia (kushoto) ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel, Bi Beatrice Singano...

Sunday, January 10, 2016

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mh.Nnape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya Wakuu wa Idara ya Habari Maelezo na Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari  mapema leo,alipokutana nao na kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabiri tasnia hiyo,mkutano huo umefanyika kwenye moja ya ukumbi ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.  ...
Msafara wa magari uliokuwa umembeba Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika wa Wachezaji wa Ndani 2015, Mbwana Samata,ulionaswa na Camera ya Globu ya jamii maeneo ya Morocco jana jioni ukitokea hoteli ya Kempinsk baada ya kuzungumza na vyombo vya habari,Msafara huo akiwemo Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye ulipita maeneo kadhaa ya jiji la Dar na kukomea katika...
Benzema alimalizia mpira uliomshinda Ronaldo na kufunga dakika ya 90 na mtanange kumalizika kwa bao 5-0 Real wakiibuka kidedea na kumwanzishia ushindi mnono meneja mpya Zinedine Zidane leo hii. Kipindi cha pili dakika ya 49 Bale akapachika bao la tatu na kufanya matokeo kuwa 3-0 dhidi ya Deportivo L Coruna. Benzema Dakika ya 15 na Bale dakika ya 22 tayari wameshaziona nyavu kipindi cha...
Rooney akipiga penati na kumfunga kipa wa Sheffield United. BAO la Penati ya Dakika ya 93 iliyofungwa na Kepteni Wayne Rooney imewaingiza Manchester United Raundi ya 4 ya FA CUP walipoitungua Timu ya Daraja la chini Sheffield United 1-0 Uwanjani Old Trafford.Penati hiyo ilitolewa katika Dakika ya 92 baada ya Memphis Depay, alieingizwa Kipindi cha Pili na kuleta uhai mkubwa kwenye mashambulizi,...
Mbele ya Mashabiki 70,720, Barcelona iliinyuka Granada Bao 4-0 kwa Bao 3 za Lionel Messi na 1 la Neymar, na kuchukua uongozi wa La Liga. DAKIKA ya 58 kipindi cha pili dakika ya 58 na bao la nne lilifungwa na Staa mwingine Neymar dakika ya 83 na mtanange kumalizika 4-0 dhidi ya Granada. Lionel Messi kafunga yote mawili katika kipindi cha kwanza, Akifunga bao la kwanza dakika ya 8 na bao...
BAO za Arsenal zimefungwa na Joel Campbell dakika ya 25,  Aaron Ramsey dakika ya 72 na lile la  Olivier Giroud dakika ya  75 na mtanange kumalizika kwa bao 3-1 dhidi ya Sunderland. BAO la Sunderland  limefungwa na Jeremain Lens dakika ya 171-1 na mpira kwenda mapumziko Soma Zaidi Hapa...

waliotembelea blog