Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Oliver Giroud ambaye wengi wamekuwa wakimlaumu kocha wa Arsenal Arsene Wenger kuwa hawezi kutwaa ubingwa akiwa na mshambuliaji huyo pekee, wengi walikuwa wakishinikiza Wenger amsajili Karim Benzema.
August 31 Oliver...
Monday, August 31, 2015
Sunday, August 30, 2015


Yakiwa yamebakia masaa takribani 72 kabla ya dirisha la usajili
barani ulaya kufungwa, winga wa kibrazil Neymar ambaye amekuwa
akihusishwa na kujiunga na Man United hatimaye ametoa kauli yake.
Akizungumza baada ya mchezo wa ushindi wa 1-0 wa Barcelona dhidi ya
Malaga, Neymar alisema: ‘Ningependa na nataka kuendelea kubaki
Barcelona,...


Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo ilikuwa ni moja kati ya vilabu vingi vilivyo kuwa vikihusishwa na kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji na klabu ya Vfl Wolfsburg ya Ujerumani Kevin De Bruyne, August 30 imetangaza kumsajili rasmi.
De Bruyne
ambaye ana umri wa...



Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema vijana wake wapo tayari kuwavaa
Nigeria Septemba 05, 2015 katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za
AFCON mwaka 2017.Mkwasa ambaye yupo nchini Uturuki na kikosi
cha timu ya Taifa kambini kwa mazoezi ya takriban wiki moja, amesema
vijana wameonyesha mabadiliko makubwa baada...


2-1Ayew akikatiza baada ya kuifunga bao la kusawazishaGomis dakika ya 65 aliwapachikia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Man United.
Kama
ilivyokuwa Msimu uliopita, Leo tena Swansea City wametoka nyuma kwa Bao
1 na kuifunga Manchester United Bao 2-1 na kuishushia kipigo chao cha
kwanza kwenye Ligi Kuu England kwa Msimu huu mpya. Hadi Mapumziko, Mechi hii iliyochezwa huko Liberty Stadium,...



Yaya
Toure analipwa pauni 220,000 akiwa na kikosi chake cha Manchester, hali
ambayo inaonyesha kuumiza mioyo mingi ya Wazungu hasa Waingereza ingawa
hawana kipaji kama chake.
Toure analipwa pauni 17,251 kwa siku ambayo ni sawa na Sh milioni 51 kwa shilingi ya Tanzania.
Si
kwamba Toure analipwa tu, kazi yake ni ngumu kweli na imeendelea kuwa
bora. Picha hizi...



MANCHESTER CITY
(4-2-3-1): Hart 6; Sagna 6.5, Mangala 6, Kompany 6, Kolarov 6;
Fernandinho 6, Toure 6.5; Sterling 7.5 (Iheancho 90), Silva 8 (Delph 75 6),
Navas 5.5 (Nasri 45 6); Aguero 6.5
Subs not used: Caballero, Demichelis,
Roberts, Maffeo Becerra, Iheanacho
Scorers: Sterling 47, Fernandinho
56
Booked: Kompany
WATFORD (4-2-3-1): Gomes 6; Nyom 7,...


Na Saleh Ally, Kartepe
Kikosi cha Taifa Stars sasa kitaendelea na
mazoezi mara moja tu kwa siku kwa siku zote zilizobaki za kambi yake hapa
nchini Uturuki.
Stars imeweka kambi ya siku nane hapa Kartepe,
Uturuki kujiandaa na mechi yake dhidi ya Nigeria itakayopigwa Septemba 5 jijini
Dar es Salaam.
Kocha Mkuu wa Stars, Charles Boniface Mkwasa
amesema watakuwa wakifanya mazoezi...



Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwahutubia wananchi katika mkutano huo leo
Umati
wa wananchi ukimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini,
Lazaro Nyalandu, alipohutubia katika mkutano wa kampeni wa mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, katika eneo la Msange,
Singida Kaskazini, leo.
Mgombea
Mwenza...


Wasanii
wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika Hoteli ya
Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua Kampeni ya Mama
Ongea na Mwanao illi aipigie kura CCM.Kampeni hiyo imeratibiwa na
Wasanii wa filamu wakuongozwa Wema Sepetu na Steven Nyerere.
Msanii
wa Filamu Bi.Wema Sepetu akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya...
Subscribe to:
Posts (Atom)