
Muuaji
kwa Timu ya Cameroon, Oribe Peralta akishangilia baada ya kuwapachikia
bao lake la Ushindi kwa timu ya Mexico usiku huu kwenye mchozo wa Kundi A
Kombe la Dunia 2014 huko Brazil. Mtanang uliopigwa kuanzia saa 1:00
usiku

Oribe Peralta akiifungia bao pekee la Ushindi timu yake ya Mexico katika kipindi cha pili dakika ya 61

Ilikuwa ni Patashika kwenye lango la Cameroon....Piga ni kupige wakapata bao kupitia kwa mchezaji wao Oribe Peralta.

Oribe Peralta akimfunga kipa wa Cameroon Charles

Giovan Dos Santos akilalamikia bao lake

Andres akimwendesha Benjamin

Alex Song wa Cameroon

Mashabiki Uwanjani wameutazama huku kukiwa na Mvua

Mchezaji wa Mexico Giovan Dos Santos akitupia na bao kukataliwa

Samuel Eto'o katikati akimiliki mpira

Mapema timu zote mbili Uwanjani
0 maoni:
Post a Comment