Kocha David Moyes na Wayne Rooney wakizungumza mbele ya waandishi wa habari kuhusu mtanange wao wa leo na Olympiacos. Utakaopigwa usiku leo
Fowadi wa United Danny Welbeck, Rooney na Javier Hernandez wakifanya mazoezi jana..jumatatu!
Wiki iliyopita, Timu nyingine mbili za England zilianza vibaya kwa zote kufungwa Mechi zao za Nyumbani wakati Man City walipochapwa kwao Etihad 2-0 na Barcelona na kumaliza Mechi wakiwa Mtu 10 baada ya Beki wao, Martin Demichellis, kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu.
RSS Feed
Twitter
5:52 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment