Friday, September 25, 2015



 
 
 
 MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
Barclays Premier League
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Manchester CityManchester City65011015
2Manchester UnitedManchester United6411413
3West Ham UnitedWest Ham United6402612
4Leicester CityLeicester City6330412
5ArsenalArsenal6312010
6EvertonEverton623139
7Swansea CitySwansea City623129
8Crystal PalaceCrystal Palace630319
9Tottenham HotspurTottenham Hotspur623119
10WatfordWatford623109
11Norwich CityNorwich City6222-18
12West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion6222-28
13LiverpoolLiverpool6222-38
14BournemouthBournemouth6213-17
15ChelseaChelsea6213-37
16SouthamptonSouthampton6132-16
17Aston VillaAston Villa6114-34
18Stoke CityStoke City6033-43
19Newcastle UnitedNewcastle United6024-62
20SunderlandSunderland6024-72








































































































































































MSIMAMO ULIVYO KWA SASA'
La Liga
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Real MadridReal Madrid54101313
2Celta de VigoCelta de Vigo5410813
3VillarrealVillarreal5410713
4Atlético de MadridAtlético de Madrid5401712
5BarcelonaBarcelona5401312
6EspanyolEspanyol5302-59
7Deportivo de La CoruñaDeportivo de La Coruña522128
8EibarEibar522128
9Rayo VallecanoRayo Vallecano5212-37
10Valencia CFValencia CF513106
11Real SociedadReal Sociedad512215
12Las PalmasLas Palmas512205
13Sporting de GijónSporting de Gijón5122-15
14Real BetisReal Betis5122-55
15Athletic ClubAthletic Club5104-43
16LevanteLevante5032-43
17GetafeGetafe5104-53
18Granada CFGranada CF5104-73
19MálagaMálaga5023-32
20SevillaSevilla

Ubunifu wa binadamu na maendeleo ya Teknolojia ni vitu ambavyo huwa vinatuletea mambo mapya kila siku, hakuna mtu asiyependa kusifiwa baada ya kufanya kazi nzuri.. ubunifu wa hiki kisiwa ni kazi nzuri ambayo tayari pongezi zimeanza kuwafikiwa wabunifu walioona kuna umuhimu kuwa na kitu kama hiki cha kuvutia.
Tunajivunia uzuri wa Zanzibar yetu, huo ni uzuri kwenye kisiwa cha asili kabisa.. taarifa ikufikie kwamba wapo waliowaza kutengeneza kisiwa kinachohama kwa kutembea juu ya maji kama ilivyo meli au Boti.
Najua kwamba Dunia inavitambua pia visiwa vilivyotengenezwa na binadamu ikiwepo Palm Island, ambacho kiko Dubai… lakini Dunia inatambulishwa pia kwenye Kisiwa ambacho kimebuniwa na wataalam wa Kampuni ya Migaloo ambao wanadili sana na kutengeneza Boti za kifahari.
150918124529-migaloo-floating-island-overview--super-169
Muonekano wa juu wa Kokomo Ailand, kisiwa cha aina yake ambacho kinatembea juu ya maji.
Ubunifu huu utasogezwa kwenye Maonesho maalum ya Monaco Yatch Show na tayari watu wenye pesa zao wameonekana kuvutiwa sana na hii kitu, kwa hiyo tayari ni biashara ambayo inatarajia wateja wa nguvu kabisa any time kuanzia sasahivi !!
150918125750-migaloo-floating-island-city-super-169
Ukiangalia nje mpaka ndani Kisiwa hiki kinavutia, na kina mahitaji yote muhimu kwa mtu anayehitaji kuishi ndani yake, kwenye vilivyomo unaambiwa mpaka Beach za nguvu kabisa zipo ndani !!
tumblr_inline_nv6lgtcn8I1tvnn6i_500
150918125046-migaloo-floating-island-interior-super-169
Ndani kunavutia mtu wangu, yani huku ndani unaambiwa kuna Beach nyingine na mazingira poa kabisa ya kujienjoy !! Ukiingia mpaka unajisahau kwamba uko kwenye kisiwa kinachoelea.
  150924122848-kokomo-ailand-top-view-super-169
Ubunifu huo wa nguvu huu hapa pia kwenye video mtu wa nguvu, teknolojia ina mazuri yake ya kuvutia kila siku yani !!

MENEJA wa Liverpool Brendan Rodgers anakabiliwa na Siku 10 zenye Mechi 3 ambazo zitaamua kama ana kibarua au la huku kukiwa na uvumi Mtaliana Carlo Ancelotti au Mjerumani Jurgen Klopp wanaandaliwa kutwaa nafasi yake.
Baada ya kushuhudia Jumatano Usiku Liverpool ikitolewa jasho na Timu ya Daraja la chini Ligi 2, Carlisle, Uwanjani Anfield na kwenda Sare 1-1 na hatimae kushinda kwa Penati 3-2 kwenye Mechi ya Raundi ya 3 ya Capital One Cup, Wachambuzi wanahisi sasa muda wa Brendan Rodgers kubwagwa umefika.
Katika Mechi zao mbili zijazo, Liverpool watakabiliana na Aston Villa na Mahasimu wao wakubwa Everton katika Ligi Kuu England lakini katikati ya Mechi hizo, Liverpool itacheza Mechi ya Kundi lao la EUROPA LIGI dhidi ya Sion.

Msimu huu, Liverpool walishinda Mechi zao mbili za kwanza dhidi ya Stoke na Bournemouth lakini baada ya hapo wakaenda Gemu 5 bila ya ushindi.
Lakini Wachambuzi wamedai hata huo ushindi dhidi ya Stoke na Bournemouth ulikuwa wa Bao 1-0 tu na ulikuja kibahati huku ule waliopata dhidi ya Bournemouth ulikuja kwa Bao la Christian Benteke wakati Philippe Coutinho akiwa Ofsaidi.
Brendan Rodgers alipewa sapoti na Wamiliki wa Liverpool, Fenway Sports Groups, kwenye Msimu uliopita ambao ulikuwa mbovu kwao lakini sasa inaaminika kuwepo huru kwa Mameneja mahiri Carlo Ancelotti, aliewahi kuziongoza AC Milan, Chelsea, Paris St-Germain na Real Madrid, na Kocha wa zamani wa Borussia Dortmund, Jurgen Klopp, kumefanya awe kwenye hali tete.




1.Mmoja wa wanaKikundi cha Masai warriors akionesha ujanja wake wa kuendeha baiskeli ya taili moja.Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wake wa kuendeha baiskeli ya tairi moja.
2.Watoto wakizidi kumshangaa mtaalamu huyo wa kutembelea baiskeli ya taili moja.Watoto wakimshangaa mtaalam huyo wa kutembelea baiskeli ya tairi moja.3.Masai warriors wakionesha madoidi yao kwa watoto wao.Masai Warriors wakionesha madoido kwa watoto.4.Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wa kukunja viongo vyake siku ya Idd El Hajj jana nyakati za jioni.Msanii akionesha ujanja wa kukunja viungo.5.Watoto wakizidi kupokea burudani mwanzo mwisho kwa Massai Warriors.Watoto wakizidi kufurahia burudani.6.Mtaalamu wa kuchezea baiskeli akionesha ujanja wake mbele ya watoto hao.Mchezea baiskeli akiendelea na ujanja wake.7....wakendelea kuonesha utaalamu wao.Maonyesha yakiendelea.
WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.
Katika kusherehekea sikukuu hiyo, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijiniDar es Salaam, kulikuwana tamasha lililotambulishwa kama ‘Amerudi Night’ ambapo kikundi cha Masai Warriors waliwapagawisha watoto kwa kuonesha michezo mbalimbali ikiwemo sarakasi, kuchezea baiskeli na michezo mbalimbali

waliotembelea blog