
Santi
Cazorla akiteta na Aaron Ramsey wakati wa Mazoezi hii leo huko London
Colney kwenye Uwanja wa Mazoezi tayari kwa kipute chao na Spurs kesho
jumamosi. Dabi ya London Kaskazini.

Cazorla akiwa full matabasamu

Hector Bellerin akifanya yake kwenye Mazoezi leo Ijumaa
Jumamosi
kesho ndani ya White Hart Lane, Wenyeji Tottenham wataikaribisha
Arsenal kwenye Dabi ya London ya Kaskazini na Mechi hii licha ya kuwa ni
Dabi pia ina ushindani wake wa kulilia kuwemo 4 Bora kwani Arsenal wako
Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 2 mbele ya Tottenham walio Nafasi ya 6.
Alisajiliwa mwezi jana Januari Krystian Bielik na leo kafanya mazoezi
tayari kwa kipute cha kesho kati yao na Spurs kipute kitakachoanza
mapema kesho jumamosi.
Spurs VS Arsenal

Cazorla, Ramsey, Per Mertesacker, Gabriel Paulista na Theo Walcott
kwenye Mazoezi leo Ijumaa tayari kwa kukutana uso kwa uso na Spurs kesho
Jumamosi kwenye Dabi ya London Kaskazini.

Nacho Monreal

Cazorla kwenye Mazoezi hii leo Ijumaa kwenye Uwanja mazoezi wa London Colney

Calum
Chambers mchezaji aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya Southampton na
sasa akikipiga Klabu ya Gunners akisalimiana na Meneja Arsene Wenger
wakati wa Mazoezi hii leo Ijumaa.

Serge Gnabry

David Ospina kipa anayetumika badala ya Wojciech Szczesny ambaye ni No 1 kwenye Klabu ya Arsenal

Meneja wa Arsenal Wenger akiwacheki Vijana Wake leo wakati wa Mazoezi