ARSENAL imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Barcelona, Alexis Sanchez – kwa dau la paundi milioni 30.
Kwa usajili huo, Asernal
wanaamini nyota huyo ataweza kuwasaidia katika harakati zao za kutafuta
ubingwa wa ligi kuu msimu ujao pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa
barani Ulaya.
Nyota huyo wa Chile ambaye
alikatisha likizo yake na kwenda London kukamilisha usajili, alifuzu
vipimo vya afya na kukubali kusaini mkataba wa miaka minne-huku kukiwa
na kipengele cha kuongeza miezi 12 na mshahara utakuwa paundi laki moja
na elfu 40 kwa wiki.
RSS Feed
Twitter
3:45 AM
Unknown


Akiongea
na Wanahabari mara baada ya Mechi, Van Gaal alisema: “Ile na Costa Rica
ingetupa imani kwani tulipiga vizuri sana. Lakini tatizo lilikuwa nani
apige ya kwanza na niliwaomba Wachezaji Wawili na mwishoe nikaangukia
kwa Vlaar. Yeye ndie alikuwa Mchezaji bora hivyo angekuwa anajiamini
mno. Lakini hii inaonyesha jinsi ilivyokuwa ngumu kupiga Penati kwenye
Penati Tano Tano.”
Messi akifunga penati
Maxi alifunga penati..
Maxi akishangilia penati aliyofunga