Saturday, September 14, 2013

Usiku wa kuamkia leo, kampuni ya SK Entertainment ikishirikiana na Unity Entertainment, iliangusha party iliyopewa jina ‘East Meets West’ ambapo host alikuwa msanii wa Nigeria, J-Martins. Party hiyo ilitawaliwa na sherehe ya birthday kumpongeza Ommy Dimpoz aliyekuwa akisherehekea siku hiyo jana, Elements Lounge, Dar es Salaam. Tazama picha ya jinsi mambo yalivyokuwa.
  1. Arthur, J-Martins na Salama
  2. Arthur, J-Martins na Salama
  3. AY na Mwana FA wakiteta jambo
  4. AY na Mwana FA wakiteta jambo
  5. Baadhi ya warembo waliohudhuria party
  6. Baadhi ya warembo waliohudhuria party
  7. Baadhi ya watu waliohudhuria wakichukua picha
  8. Baadhi ya watu waliohudhuria
  9.  wakichukua picha
  10. Hamisa Mobeto
  11. Hamisa Mobeto
  12. J-Martins na Ommy Dimpoz
  13. J-Martins na Ommy Dimpoz
  14. J-Martins na Salma Msangi
  15. J-Martins na Salma Msangi
  16. J-Martins, Ommy Dimpoz na Man Walter
  17. J-Martins, Ommy Dimpoz na Man Walter
  18. Kuanzia kulia ni Gillsant Mlaseko, Carol Ndosi, Fid, Salama na AY. Aliyekupa mgongo ni Michel Mbwambo
  19. Kuanzia kulia ni Gillsant Mlaseko,
  20.  Carol Ndosi, Fid, Salama na AY. 
  21. Aliyekupa mgongo ni Michel Mbwambo
  22. Kumbukumbu
  23. Kumbukumbu
  1. Mboni Masimba, hi Dimpoz
  1. Mboni Masimba: Hi Dimpoz!!
  2. Mboni, jamani hawamuonei huruma Ommy
  3. Mboni: jamani hawamuonei huruma Ommy? 
  4. Jamaa wa pembeni, ‘mi simo’
  5. Meneja wa Heineken Tanzanua , Uche Unigwe, Ommy, Salama na rafiki
  6. Meneja wa Heineken Tanzania
  7.  , Uche Unigwe, Ommy Dimpoz, Salama na rafiki
  8. Mlaseko, Fid Q na Arthur
  9. Gillsant Mlaseko, Fid Q na Arthur
  10. Mrembo akicheza mbele ya J-Martins
  11. Mrembo akicheza mbele ya J-Martins
  12. Mrembo akipose kwenye camera ya Bongo5
  13. Mrembo akipose kwenye camera ya Bongo5
  14. Mrembo huyu aligeuka kivutio kwa uchezaji wake wa kichokozi
  15. Mrembo huyu aligeuka kivutio 
  16. kwa uchezaji wake wa kichokozi
  17. Mshindi wa BBA 3 Kevin Pam wa katkati akiwa na Lucci, kulia na rafiki
  18. Mshindi wa BBA 3 Kevin Pam
  19.  wa katkati akiwa na Lucci, kulia na rafiki
  20. Mwana FA, Wakazi na Ommy Dimpoz
  21. Mwana FA, Wakazi na Ommy Dimpoz
  22. Na Bado
  23. Na Bado!!
  24. Nimekasirika
  25. Nimekasirika
  26. Ommy Dimpoz akikata keki
  27. Ommy Dimpoz akikata keki
  28. Ommy Dimpoz akiogeshwa na pombe
  29. Ommy Dimpoz akiogeshwa na pombe na maji
  30. Ommy Dimpoz akionesha hana hamu kwa mvua ya pombe alizomwagiwa
  31. Ommy Dimpoz akionesha hana hamu
  32.  kwa mvua ya pombe alizomwagiwa
  33. Ommy Dimpoz akiwa na furaha tele
  34. Ommy Dimpoz akiwa na furaha tele
  35. Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA
  36. Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA
  37. Salma Msangi wa Channel Ten akichukua picha kwa ustadi
  38. Salma Msangi wa Channel Ten akichukua 
  39. picha kwa ustadi
  40. Sam Misago akichukua picha kwaajili ya blog yake
  41. Sam Misago akichukua picha kwaajili ya blog yake
  42. Sam Misago na Mwana FA
  43. Sam Misago
  44. Sister picha nzuri unachukua wewe tu
  45. Jamaa pembeni anaonekana akisema, ‘sister
  46.  picha nzuri unachukua wewe tu’
  47. Wakazi, Fid Q na Ommy
  48. Wakazi
  49. Wakazi
  50. Warembo wakipose kwenye camera
  51. Warembo wakipose kwenye camera
  52. Watangazaji wa Times FM, Raheem Da Prince na Cynder King wakiwa na warembo
  53. Watangazaji wa Times FM, Raheem 
  54. Da Prince na Cynder King wakiwa na warembo
  55. Yalaaaaaa
  56. Yalaaaaaaaaaaa
  57. DSC_6307 (900x604) (604x405)
  58. DSC_6312 (900x604) (604x405)
  59. DSC_6314 (900x604) (604x405)
  60. DSC_6326 (900x604) (604x405)
  61. DSC_6328 (900x604) (604x405)
  62. DSC_6332 (900x604) (604x405)
  63. DSC_6342 (900x604) (604x405) 
  64. DSC_6352 (900x604) (604x405)
  65. DSC_6353 (900x604) (604x405)
  66. DSC_6358 (900x604) (604x405)
  67. DSC_6361 (900x604) (604x405)
  68. DSC_6373 (900x604) (604x405)
  69. DSC_6378 (900x604) (604x405)
  70. DSC_6389 (604x900)
  71. DSC_6398 (900x604) (604x405)
  72. DSC_6399 (900x604) (604x405)
  73. DSC_6405 (900x604) (604x405)
  74. DSC_6414 (900x604) (604x405)
  75. DSC_6427 (900x604) (604x405)
  76. DSC_6433 (604x900)
  77. DSC_6437 (900x604) (604x405)
  78. DSC_6444 (900x604) (604x405)
  79. DSC_6447 (900x604) (604x405)
  80. DSC_6449 (900x604) (604x405)
  81. DSC_6459 (604x900)
  82. DSC_6463 (900x604) (604x405)
  83. DSC_6464 (900x604) (604x405)
  84. Vijana wakicheza wimbo maarufu wa Mafikizolo, Khona
  85. DSC_6465 (900x604) (604x405)
  86. DSC_6469 (900x604) (604x405)
  87. DSC_6472 (900x604) (604x405)
  88. DSC_6473 (900x604)

Gumzo Admin AFYA, udaku Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka kupata huduma ya Mtandao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimsikiliza Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akitoa maelezo jinsi alivyopata mkasa wa kutiwa Tindikali jana na watu wasiojulikanwa,katika mtaa wa Mlandege Mjini Unguja, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,ambapo amelazwa na kuapatiwa matibabu. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwafariji jamaa na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole Padri huyo baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasiojulikanwa jana jioni Mtaa wa Mlandege Mjni Mmoja wa Ngugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akimueleza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,hisia zake kwa Uchungu kutokana na kitendo hicho cha kumwagiwa Tindikali na watu wasiojulikanwa kwamba zilichukuliwe hatua za kisheria na kukomeshwa Vitendo kama hivyo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifafanua jambo wakati akiwafariji jamaa na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa wa Mlandege Mjini Unguja



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka kupata huduma ya Mtandao

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimsikiliza Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akitoa maelezo jinsi alivyopata mkasa wa kutiwa  Tindikali jana na watu wasiojulikanwa,katika mtaa wa Mlandege Mjini Unguja, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,ambapo amelazwa na kuapatiwa matibabu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwafariji jamaa  na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole Padri huyo baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasiojulikanwa jana jioni Mtaa wa

Mlandege Mjni


 
 Mmoja wa Ngugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akimueleza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,hisia zake kwa Uchungu kutokana na kitendo hicho cha kumwagiwa Tindikali na watu wasiojulikanwa  kwamba zilichukuliwe hatua za kisheria na kukomeshwa Vitendo kama hivyo



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifafanua jambo wakati akiwafariji jamaa na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa wa Mlandege Mjini Unguja
Haaaa haaaa...ukitaka kubana pua kabane nyumbani kwenu,hapa ni hip hop tuuu.....Msanii wa Bongofleva Ney wa Mitego wakioneshana umahiri umwamba wa jukwaani na msanii mwenzake  Dimond  kupitia wimbo wa Muziki Gani.

 Mmoja wa wasanii wanaokuja kwa kasi kwenye anga ya muziki wa Bongofleva a.k.a hip hop,Stamina akiwaimbisha wakazi wa Dodoma na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamuhuri,wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea.
 Msanii mahiri ambaye kwa sasa anasumbua vilivyo anga ya muziki wa Bongofleva,Diamond akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa Jamuhuri.


 Sehemu ya mashabiki wakishangweka vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Mmoja wa wakongwe wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la Wateule Skwadi,atambulikae kwa jia la kisanii Mchizi Mox akiimba jukwaani usiku huu.  
Maelfu ya Watu wakiwa kwenye uwanja wa jamuhuri,usiku huu wakishangweka na tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Mkali mwingine wa Bongofleva,Dullysykes akiimba jukwaani usiku huu wakati tamasha la Serengeti fiesta likiendelea.
 Young Killer na Stamina  kama kawaida yao wakilishambulia jukwaa la fiesta usiku huu,huku maelfu ya watu wakiwa ndani ya uwanja wa Jamuhuri,mkoani 
 
 
 Ni burudani murua kabisa usiku huu ndani ya uwanja wa Jamuhuri,wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea. 
 Mwanadada ambaye wengi wanadai amerithi viuno na sauti kutoka mwanamuziki Ray C,anaitwa Rachael kutoka nyumba ya vipaji a.k.a THT akiimba jukwaani huku akionesha umahiri wake wa kukata mauno.
Mkongwe wa muziki wa kizaz kipya a.k.a Bongofleva Afande Sele a.k.a Baba Tunda a.k.a Simba Mzee akidhihirisha ukongwe juu ya steji ya tamasha la Serengeti linalofanyika usiku huu ndani ya uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma,ambapo maelfu ya watu washabiki wamejitokeza kushuhudia tamasha hilo ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.
 
 
 Makamuzi yakiendelea usiku huu 
 sehemu ya umati wa watu. 
 Dj Mully B akikamua mangoma
 wakishangweka.
Kutoka TMK Wanaume Halisi,alyewahi kuwa ndani ya kundi la mabaga flesh akishusha mistari yake mbele ya mashabiki wake usiku huu.

Friday, September 13, 2013


jeri Cox Chastain akikagua baadhi ya vitu vilivyokuwamo ndani ya pochi hiyo.  
Vitu visivyouzika ambavyo mwanamke mmoja alipoteza kwa zaidi ya kipindi cha miaka 20 hatimaye vimerejeshwa kwake.
Pochi ya rangi ya bluu bahari iliyoibwa Desemba, 1990 kutoka kwa Jeri Cox Chastain, mama aliyekuwa akifanya kazi mbili wakati huo, imerejeshwa katika himaya yake.
Msamaria mwema aliiona pochi hiyo katika paa la vigae vya jengo moja huko Spartanburg, South Carolina, majengo kadhaa kutoka sehemu ambako Chastain alikuwa akifanya kazi wakati huo, na kumpa kumbukumbu ya miaka kadhaa iliyopita katika mchakato huo.
Chastain anakumbukia siku hiyo, 'siku ya malipo,' kwa uwazi. Alikuwa akifanya kazi Hospitali ya Doctor's Memorial, ambayo ilifungwa mnamo mwaka 1994.
Pochi hiyo ilikuwa imeibwa wakati alipotoka ofisini kwake, kabati la chuma, kwenda kununua vitafunwa.
Wakati huo aliamini kuna mtu katika jengo la ofisi yake amemuibia fedha hizo na kisha kuitupa pochi hiyo.
"Nilihisi tu ilikuwa imetupwa kwenye pipa la taka mahali fulani."
Badala yake, Chastain alipigiwa simu kutoka polisi mapema wiki hii ikimweleza kwamba pochi hiyo aliyodhani imetoweka kabisa, imepatikana.
Shastain alikwenda kituo hicho cha polisi siku iliyofuata kuitambua pochi hiyo, ambayo ilikuwa katika 'hali safi.'
Ingawa pesa hizo zilizokuwamo, hakika, zilikwenda Shastain alifurahi kupita kiasi kuona mlolongo wa picha na kitabu cha kumbukumbu.
Picha mojawapo kwa namna ya kushangaza ilikuwa muhimu kabisa kwa Chastain.
Ilikuwa ni picha ya kijana wake, sasa ana miaka 28, alipokuwa na miaka mitano akiwa kavalia nguo ambazo wakati fulani zilikuwa zikimilikiwa na baba yake.
Pia katika pochi hiyo kulikuwa na kadi za manunuzi na hata kadi za huduma ya matibabu kwa ajili yake na mwanae, pia cheti cha kuzaliwa cha mwanae huyo.
"Kuna mtu anawezekana kuwa alichukua [vyote hivi] na kufanya maisha mapya kwa [wao wenyewe]."
Kwa sasa Chastain ana furaha kufanya safari hii ya kumbukumbu, lakini anataka kumshukuru mtu aliyerejesha pochi yake.
Hii hakika si mara ya kwanza mtu mwaminifu kurejesha pochi iliyopotea kipindi kirefu sana.

Kutoka kwenye jengo hilo hilo, miaka michache iliyopita alirejesha pochi iliyopotea tangu mwaka 1996.


MDOSI au Kanjibai aliyefahamika kwa jina moja la Milah ambaye ni bosi wa kampuni moja ya ujenzi yenye makao yake Mwenge jijini Dar alinaswa chooni akiwa na mfanyakazi wake, John Carlos ‘Shabani’ (watu walimpachika jina la Shabani kutokana na Kanjibai wa kwenye Komedi) ikidaiwa walikuwa katika mazingira ya ulawiti, Ijumaa ‘Kubwa’ lina sinema yote.
Ishu hiyo nzito ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo wawili hao walikuwa chooni humo kwa zaidi ya nusu saa na kuwasababishia usumbufu watu waliokuwa wakitaka kutumia choo hicho.
KISA KILIPOANZA
Siku hiyo ya tukio, mtu mwenye sauti ya kiume alipiga simu kwenye chumba cha habari cha Global Publishers, Mwenge jijini Dar na kupasha juu ya tukio hilo. Alisema:
“Jamani hebu njooni haraka hapa kwenye hii kampuni ya ujenzi ya… (jina lipo) iko hapa Mwenge. Kuna bosi wetu mmoja amejifungia chooni na mfanyakazi mwenzetu kwa zaidi ya robo saa sasa, sijajua nini kinaendelea humo ndani. Sisi wengine hapa matumbo ya kuendesha yametushika sijui tufanyaje?!”
Mtoa habari huyo alikwenda mbele zaidi kwa kuwaambiwa mapaparazi wetu waliompokelea simu wachukue Bajaj au Bodaboda ili kuwahi.
Sosi huyo kabla ya kukata simu aliweka wazi ramani ya kufika kwenye choo hicho na kusisitiza kwamba muhimu kuwahi kwa sababu huenda wanagombana.

MAPAPARAZI WAWASHA PIKIPIKI
Kufuatia msisitizo huo, mapaparazi wetu makini  waliwasha pikipiki zao, kila mmoja na yake na kushika njia kuelekea eneo la tukio.
Hata hivyo, kwa kuamini wanaweza kukutana na lolote, waliona ni vyema kwanza kwenda kutoa taarifa kwenye Kituo Kidogo cha Polisi cha Mwenge ambapo walipewa askari wawili kuelekea eneo la tukio.

ENEO LA TUKIO SASA
Timu hiyo iliwasili kwenye eneo la tukio. Mlango wa choo hicho ulikuwa umefungwa lakini kwa mara moja tu haikuwa rahisi kugundua kama ulifungwa kwa funguo au kawaida tu.
 Afande mmoja alijitolea kugonga mlango wa choo hicho ili kupima ushirikiano utakaotolewa na wawili hao au mmoja wao.
Sauti iliyoonekana ni ya Kanjibai kutokana na kushindwa unyoofu wa lugha ya Kiswahili ilisikika ikiuliza:
“Nani wewee… taka nini huku?”
Afande: Sisi ni askari polisi, fungua haraka tunajua mko wawili humo ndani, fungua.
Kanjibai: Subiri kidogo.
Baada ya dakika kadhaa ambazo mapaparazi wetu hawakuzifuatilia, mdosi huyo alifungua mlango na kukutwa akiwa na ‘Shabani’.
WALICHOKUWA WAKIKIFANYA CHOONI
Katika maswali ya harakaharaka nje ya choo hicho kila mmoja alisema la kwake ambalo aliliamini linaweza kumchomoa kwenye skendo hiyo mbaya.
‘Shabani’ alisema yeye aliingia kwenye choo hicho baada ya kuitwa na bosi wake huyo ambapo alishindwa kumkatalia kwa kuogopa kupoteza ajira yake na kama inavyojulikana maisha ya Dar bila kazi ni ngumu kuyamudu.
Alipoulizwa walichokuwa wakikifanya ndani ya choo hicho, Shabani alibaki akiwatumbulia macho maafande, wakati mwingine mapaparazi wetu.
Kwa upande wake Kanjibai alipotakiwa kujieleza kisa cha kuingia chooni na mfanyakazi wake, alisema alimuomba wazame humo ili akamnyoe. Yaani Kanjibai alitaka kunyolewa.

IKAFIKA ZAMU YA KUPELEKWA KITUONI
Afande mmoja aliamuru wawili hao wapelekwe kituo cha polisi, lakini kabla ya kuanza safari, mdosi huyo aliingiza mkono kwenye mfuko wa suruali na kutoa vitu vyake kadhaa na kuwakabidhi wadosi wenzake waliofika ‘kumsaidia’ muda mfupi baada ya kunaswa.
Halafu aliingiza mkono kwenye mfuko mwingine na kutoa mafuta aina ya KY (pichani) ambayo mtaani hujulikana sana kwa jina la ‘mlainisho’ lakini askari alimwambia mafuta hayo yanatakiwa kituoni kwa ajili ya ushahidi hivyo asiwape nduguze.
Breki ya kwanza ilikuwa kwenye Kituo Kidogo cha Polisi Mwenge ambapo baada ya mahojiano mafupi walihamishiwa Kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’ ambapo walihojiwa zaidi kuhusiana na tukio hilo.
-GPL 

waliotembelea blog