Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani
Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali
ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na
watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana
jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka kupata huduma ya
Mtandao
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimsikiliza Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani
Katoliki Parokia ya Machui,akitoa maelezo jinsi alivyopata mkasa wa
kutiwa Tindikali jana na watu wasiojulikanwa,katika mtaa wa Mlandege
Mjini Unguja, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa
pole,ambapo amelazwa na kuapatiwa matibabu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwafariji jamaa na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa
Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika katika Hospitali
ya Mnazi Mmoja kumpa pole Padri huyo baada ya kumwagiwa Tindikali na
Watu wasiojulikanwa jana jioni Mtaa wa
Mlandege Mjni
Mmoja
wa Ngugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki
Parokia ya Machui,akimueleza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,hisia zake kwa Uchungu kutokana na
kitendo hicho cha kumwagiwa Tindikali na watu wasiojulikanwa kwamba
zilichukuliwe hatua za kisheria na kukomeshwa Vitendo kama hivyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifafanua jambo wakati akiwafariji
jamaa na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani
Katoliki Parokia ya Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu
wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa wa Mlandege Mjini Unguja
0 maoni:
Post a Comment