Friday, September 30, 2016

Jamaa wakilangua kadi za selcom kwa ajili ya mchezo wa Simba na Yanga nje ya Uwanja wa Taifa leo Hapa anarudisha pesa kwa watu baada ya wandishi wa habari kukisanua na kusaidiwa na askari mmoja wa JWTZ ambaye akutaka kupigwa picha wala kutaja jina la...
...

Saturday, September 24, 2016

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akikatiza katika Mtaa wa Hamugembe mjini Bukoba alipokwenda kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi liliua watu 17 na kujeruhi wengine 252 hivi karibuni. Picha na Phinias Bashaya Bukoba. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili mjini Bukoba mkoani Kagera kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa huo na kuua...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mfia Septemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Mhandisi Methew Mtigumwe akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey D.J Mwanri (Kulia) Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Mhandisi Methew Mtigumwe akisoma Risala wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru Baadhi ya wakuu wa Wilaya za mkoa wa Tabora wakiulaki mwenge wa Uhuru mara baada ya kuwasili Mkoani hu...
Kipa wa Timu ya Maji Maji ya Songea "Wana Lizombe", Amani Simba akiruka bila mafanikio wakati akijaribu kuudaka mpira uliopigwa kwa umaridadi mkubwa na Mshambuliaji wa Simba, Jamal Mnyate na kuiandikia timu hiyo bao la kuongoza, katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka kidedea kwa kuicharaza timu...
Mwenyekiti wa Timu ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngeleja akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam leo kuhusu mechi kati ya wabunge ambao ni wapenzi wa timu ya Simba na wapenzi wa timu ya Yanga yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia wahanga wa Tetemeko la Ardhi, lililoukumba Mkoa wa Kagera hivi karibuni....
 September 23 2016 Msajili wa vyama vya siasa alitoa msimamo na ushauri wake baada ya kupokea malalamiko na kupitia maelezo ya pande zote kuhusu mgogoro wa uongozi uliopo kwenye chama cha wananchi CUF. Baada ya upembuzi Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi alitoa mwongozo kuwa Prof. Lipumba bado ni mwenyekiti halali wa chama hicho...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Dk Beatrice Byalugaba kufanya uchunguzi na kubaini madaktari wa hospitali ya wilaya ya Mafia wanaomiliki maduka ya dawa nje ya hospitali hiyo na kuwachukulia hatua. Amesema ameshangazwa kukuta maduka ya dawa yanayomilikiwa na madaktari nje ya hospitali hiyo kwani tayari Serikali ilishaagiza kuondolewa kwa maduka ya...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Septemba 24, 2016. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka. (Picha na Bashir Nkoromo). ...

waliotembelea blog