July 17 2016 headline kutoka Ikulu Dar es salaam ni pamoja na hii Rais John Pombe Magufuli kumteua Profesa Longinus Rutasitara kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya usafiri wa anga (TCAA), Rutasitara anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Nyamajeje Weggoro ambaye muda wake umemalizika.
Pia Rais
Magufuli amempandisha cheo kamishna msaidizi...
Sunday, July 17, 2016


JK Comedian
ni mchekeshaji ambaye amebarikiwa kipaji cha kuweza kuigiza sauti za
watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Tanzania, leo katuonyesha ubora wake
kwa kuziigiza sauti za wachekeshaji wa kundi la original comedy
linaloundwa na mastaa kama vile Masanja, Joti, Mpoki, Wakuvanga na Makregani.
Unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini...
Friday, July 8, 2016


Nyota
wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA)
Mussa Bakari akiwasili ndani ya uwanja cha ndege wa kimataifa wa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere kutokea katika kambi ya Kimataifa ya Copa
Coca-Cola iliyofanyika jijini Paris nchini Ufaransa.
Meneja
Msaidizi wa Chapa ya Coca – Cola, Mariam Sezinga (kushoto) akimpokea
kwa shangwe nyota wa soka aliyefanya...



Waziri
wa Habari, sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnaye akizungumza katika
uzinduzi wa mashindano ya magari jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Habari, sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnaye akiwa amenyanyua
bendera ya Taifa juu kuashiria uzinduzi wa Mashindano ya Mbio za Magari
ya 2016 jijini Dar es Salaam leo .Kulia kwa Nape ni Katibu wa Balaza la
Michezo Tanzania(BMT), Mohamed...


Mkufunzi
wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na
mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia kandarasi
ndefu.Klopp alijiunga na Liverpool mnamo mwezi Oktoba ,baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15 ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.''Uongozi wake utakuwa muhimu katika kufanikisha malengo yetu'', alisema mmiliki wa Liverpool. Klopp aliifikisha...


PepMkufunzi mpya wa Manchester City Pep Guardiola anasema kuwa alienda nchini Uingereza kuthibitisha kuwa inawezekana kucheza mchezo mzuri katika ligi ya Uingereza.Gurdiola
mwenye umri wa miaka 45 ambaye ametia kandarasi ya miaka mitatu
,amesema kuwa alipendelea kusalia kuifunza Bayern Munich,lakini alitaka
mtihani mwengine katika ukufunzi wake.Raia
huyo wa Uhispania amekiri kwamba alikuwa...



Baada
ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mecky Maxime ametua Kagera Sugar.
Maxime ambaye alikuwa akiinoa Mtibwa Sugar, sasa amesaini mkataba wa
kuinoa Kagera Sugar. Meneja wa Kagera Sugar, Mohammed Hussein amesema
Maxime ndiye kocha mkuu akichukua nafasi ya Adolf Rishard.
Awali, kulikuwa na taarifa za kuondoka
kwa Maxime kwenda Kagera, lakini uongozi wa Mtibwa Sugar ulilikataa
hilo....
Tuesday, July 5, 2016


Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande
akizungumza kuhusu msaada ambao wameutoa kwa kituo cha Al--Madina.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya kusherekea sikukuu ya Eid El
Fitri, Kampuni ya Multichoice Tanzania ambao ndiyo wasambazaji wa
ving'amuzi vya DSTV nchini imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto
yatima ambao...


DIRISHA la Uhamisho la Ligi Kuu England limefunguliwa rasmi Julai 1 na litafungwa Agosti 31. Klabu kadhaa zimeshavamia Soko na kununua na pia kuuza Wachezaji. PATA DILI ZILIZOKAMILIKA HADI SASA: AFC Bournemouth MPYA Emerson Hyndman (Fulham) Bure Nathan Ake (Chelsea) Mkopo Lys Mousset (Le Havre) ADA HAIKUTAJWANJE Sylvain Distin (Ameachwa) Tommy Elphick (Aston Villa) ADA HAIKUTAJWA Matt Ritchie...
Sunday, July 3, 2016



Wanafunzi
wa chuo Cha Uhasibu (TIA), jijini Dar es Salaam, wakipatiwa maelezo ya
huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF walipotembelea
banda la Mfuko huo lililoko jingo la Wizara ya fedha kwenye maonyesho
ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, 2016 viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 2, 2016.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,...



Afisa Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mohamed Siaga akifurahia huku kionyesha tuzo walizokabidhiwa. Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa kikombe chao
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, akihojiwa na Waandhi wa habari
baada ya Mfuko wake kukabidhiwa Kikombe cha ushindi wa kwanza wa Kundi
la Mifuko ya Hifadhi ya jamii na Makampuni...
Subscribe to:
Posts (Atom)