Saturday, December 24, 2016

MABINGWA watetezi Tanzania bara Yanga wamelazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa 17 wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara dhidi ya African Lyon. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, mabao yalifungwa na Ludovick Venance wa African Lyon na Amis Tambwe kwa upande wa Yanga. Sare hiyo itaendelea kuibakiza Yanga kwenye nafasi ya pili ikifikisha jumla ya pointi...
Mechi 14 za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika wakati huu wa msimu wa kufunga mwaka 2016 na mbili za zitafungua mwaka 2017 ambako Kituo cha Televisheni cha Azam - Wadhamini wenza wa ligi hiyo, wamethibitishia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupata burudani kwa michezo yote kulingana na ratiba. Katika Ligi hiyo ambayo pia inabarikiwa na Benki ya Diamond Trust (DTB),...

Thursday, December 22, 2016

FIFA Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani ambayo ni ya mwisho kwa Mwaka 2016 na Argentina wameendelea kushika Nambari 1 wakifuata Brazil. Tanzania imepanda Nafasi 4 na sasa ipo ya 156 kutoka ile ya 160 ya Mwezi uliopita. Mwezi Januari Mwaka huu Tanzania ilikuwa ya 126 na kupanda hadi 125 Mwezi Februari, kushuka 130 Aprili na kuyumba lakini Julai ikawa ya 123 na baada ya hapo mporomoko...
KIUNGO wa Manchester United Henrikh Mkhitaryan Leo amezoa Tuzo yake ya 6 mfululizo kama Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Nchi yake Armenia. Hii ni Tuzo yake ya 7 tangu avuke Umri wa Miaka 20 na kumfanya awemo kwenye Rekodi za Mastaa wa Dunia waliozoa mara nyingi Tuzo za aina hiyo. Anaeongoza kwa Tuzo aina hii kwa Nchi yake ni Mchezaji mwenzake Mkhitaryan huko Man United, Zlatan Ibrahimovic, ambae...
Straika wa Mabingwa wa England Leicester City anaechezea England Jamie Vardy sasa atakosa Mechi 3 baada ya Rufaa yake kupinga Kadi Nyekundu aliyopewa Jumamosi Leicester ikitoka 2-2 na Stoke City kutupiliwa mbali. Vardy, mwenye Miaka 29, atazikosa Mechi za Leicester dhidi ya Everton, West Ham na Middlesbrough. Vardy alitolewa nje na Refa Craig Pawson katika Dakika ya 28 kwa Rafu ya Miguu...
KILE Kifungo cha Real Madrid walichoshushiwa na FIFA cha kutosajili Wachezaji Wapya hadi Januari 2018 sasa kimepunguzwa na CAS, Court of Arbitration for Sport, Mahakama ya Usuluhishi Michezoni, na sasa wataruhusiwa kusajili Wapya kuanzia Julai, 2017. Awali FIFA iliwafungia Real kutosajili Wachezaji Wapya kwa Madirisha Mawili ya Uhamisho ikimaanisha yale ya Januari 2017 na Julai 2017 kwa...
Miss Puerto Rico Stephanie Del Valle is crowned after winning the Miss World 2016 Competition in Oxen Hill, Maryland, U.S., December 18, 2016. REUTERS/Joshua Roberts Miss Puerto Rico Stephanie Del Valle (C) reacts to being named Miss World as Miss Philippines Catriona Elisa Gray (L) and Miss Kenya Evelyn Njambi Thungu watch during the Miss World 2016 Competition in Oxen Hill, Maryland,...
RATIBA LIGI  KUU ENGLANDIjumaa Desemba 23 African Lyon v Yanga [Uhuru Stadium, Dar es Salaam]   Jumamosi Desemba 24 Mbeya City v Toto Africans [Sokoine, Mbeya] Kagera Sugar v Stand United [Kaitaba, Bukoba] Ndanda FC v Mtibwa Sugar [Nangwanda, Mtwara] Simba v JKT Ruvu [Uhuru Stadium, Dar es Salaam] Majimaji FC v Azam FC [Majimaji, Songea] Mwadui FC v Mbao FC [Mwadui Complex, Mwadui] Jumatatu...
RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND BOXING DAY Jumatatu Desemba 2615:30 Watford v Crystal Palace 18:00 Arsenal v West Bromwich Albion 18:00 Burnley v Middlesbrough 18:00 Chelsea v Bournemouth 18:00 Leicester City v Everton 18:00 Manchester United v Sunderland 18:00 Swansea City v West Ham United 20:15 Hull City...

Wednesday, December 14, 2016

MCHEZAJI wa Kimataifa wa Algeria Riyad Mahrez ametwaa Tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora Afrika kwa Mwaka 2016. Mahrez, Mzaliwa wa France mwenye Miaka 25, aliisaidia mno Leicester City kutwaa Ubingwa wa England Mwezi Mei kwa mara ya kwanza katika Historia yao na hilo limempa Tuzo hii maarufu na inayosifika ya BBC, Shirika la Utangazaji la Uingereza. Mapema Mwaja huu, Mahrez alitunukiwa Tuzo ya...
CRISTIANO RONALDO ameshinda Tuzo maarufu na iliyotukuka ya Ballon d'Or kutoka Listi ya Wagombea 30 akiwemo alieishika kmWaka Jana Lionel Messi. Hii sasa ni mara ya 4 kwa Ronaldo kutwaa Tuzo hii akizidiwa mara 1 tu na Messi. Ballon d'Or inasimamiwa na Jarida maarufu France Football na Mshindi wake hupatikana kwa Kura za Wanahabari 173 toka kila pembe ya Dunia. France Football imekuwa ikisimamia...
DROO ya Raundi ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa kucheza na Napoli. Arsenal ya England itacheza na Vigogo wa Germany wakati PSG ikiivaa FC Barcelona. Manchester Citi itaikwaa Monaco wakati Mabingwa wa England Leicester City wakicheza na Sevilla ya Spain. DROO KAMILI: Sevilla v Leicester PSG v Barcelona Leverkusen v Atletico...
Leo Jumatano zipo Mechi 8 za EPL na Vinara Chelsea wapo Ugenini Stadium of Light kucheza na Sunderland, Liverpool Ugenini na Boro, Man United Ugenini na Crystal Palace wakati Spurs wako kwao kucheza na Hull City. Mechi hizo ni mwendelezo wa Mechi 2 za Jana za Raundi ya 16 ya EPL ambapo Arsenal walipoteza nafasi ya kutwaa uongozi wa Ligi walipotandikwa na Everton 2-1 huko Goodison Park...

Sunday, December 11, 2016

Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiwapongeza Wasanii mbalimbali waliojinyakulia tuzo zao usiku wa leo,zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,ambapo Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba ameibuka kinara kwa kujinyakulia tuzo tatu. Waziri wa Habari, Utamaduni...

waliotembelea blog