Nemanja akimiliki mpira dhidi ya Morgan wa Manchester United
Giggs na Van Gaal
Meneja wa Chelsea Guus
Sir Alex Ferguson
Selfie...
John Obi alioneshwa kadi ya Njano
Kipa de Gea akiokoa mpira langoni mwake
Mashabiki
ndani ya Old Trafford wameshuhudia kwa mara ya kwanza Man United
ikitawala na kutandaza Soka safi lakini kushindwa kufunga na kupata
ushindi baada ya kutoka 0-0 na Mabingwa Watetezi Chelsea.
Man
United walitawala Mechi hii na kukosa nafasi ya kushinda ili kumpa
afueni Meneja wao Louis van Gaal ambae anasakamwa baada ya kutoshinda
katika Mechi 8 zilizokwisha vikiwemo vipigo vinne kabla ya Mechi hii.
chupuchupu!
Matic
ni Shidaaa kakosa nafasi kubwa ya kufunga bao ...pale alipokutana uso
kwa uso na kipa David de Gea, Katika kipindi cha pili.Kwa Chelsea Mechi
hii nayo ni Sare ya Pili mfululizo kwa Meneja mpya Guus Hiddink alietwaa
wadhifa baada ya kutimuliwa Jose Mourinho Wiki iliyopita.
Martial kazini...
Kipindi cha kwanza kinaendelea....bado ni 0-0
Juan Mata kagonga mwamba wa Lango la Chelsea
Guus akitet jambo na Pedro!
RSS Feed
Twitter
9:46 PM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment