Thursday, December 31, 2015

 Msanii Tekno Miles (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyomtambulisha rasmi kwa waandishi wa habari iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Msanii huyo anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na...
JANA Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ilibidi atulizwe munkari na Polisi ya kumpandishia Meneja mwenzake wa Sunderland Sam Allardyce wakati wa Mechi ya Ligi Kuu England Uwanjani Stadium of Light. Klopp alipandwa na jazba wakati Jeremiah Lens wa Sunderland alipomchezea rafu mbaya Beki wa Liverpool Mamadou Sakho. Wakati huo Liverpool walikuwa tayari washafunga Bao lao pekee na la ushindi kupitia...
ENGLAND imeanika Listi ya Wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Nchi yao ambapo pia ipo Tuzo kwa Chipukizi Vijana wa chini wa Miaka 21, U-21. Kepteni wa England, Wayne Rooney, ambae alishinda Tuzo hiyo Mwaka Jana, ni miongoni mwa Wachezaji Watano wanaogombea. Rooney Mwaka huu aliiongoza England kufuzu kuingia Fainali za...
Ronaldo akishangilia moja ya  bao lakeLeo La Liga imerejea tena na ndani ya Santiago Bernabeu, Mchezaji Bora Duniani Cristiano Ronaldo aliiongoza Real Madrid kuichapa Real Sociedad Bao 3-1 na kuongoza Ligi hii ya Spain pengine kwa muda tu hadi baadae Usiku huu. Ronaldo alikosa kuipa Real Bao wakati walipopewa Penati na yeye kuipaisha juu lakini Dakika ya 42 wakapata Penati nyingine...

Wednesday, December 30, 2015

LA LIGA RATIBAJumatano Desemba 30 18:00 Real Madrid CF v Real Sociedad 18:00 Levante v Malaga CF 20:15 Rayo Vallecano v Atletico de Madrid 20:15 Sevilla FC v RCD Espanyol 20:30 SD Eibar v Sporting Gijon 22:30 FC Barcelona v Real Betis 22:30 Celta de Vigo v Athletic de Bilbao 22:30 Getafe CF v Deportivo La Coruna 23:00 Las Palmas v Granada CF Alhamisi Desemba 31 18:00 Villarreal CF v Valencia...
Barclays Premier League PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Arsenal1912341539 2Leicester City1911621239 3Manchester City1911351736 4Tottenham Hotspur199821835 5Crystal Palace19946731 6Manchester United19865630 7West Ham United19784529 8Watford19856429 9Stoke City19856129 10Liverpool18765-127 11Everton19685726 12Southampton19667324 13West Bromwich Albion19658-623 14Chelsea19559-620 15Norwich...
MARA baada ya Jumatatu Usiku kutoka Sare 0-0 na Mabingwa Watetezi Chelsea Uwanjani Old Trafford na kusitisha wimbi la kufungwa Mechi 4 mfululizo, Meneja wa Manchester United Louis van Gaal aliibuka na kutamba hana mipango ya kujiuzulu. Baada ya kuchapwa 2-0 na Stoke City Siku ya Boksing Dei, Man United waliibuka na kusakata Soka safi na kustahili kuifunga Chelsea lakini, kama kawaida,...
Patashika za Ligi Kuu England kuendelea tena leo, Kuna Mechi moja pekee ambayo itaamua nani anamaliza 2015 akiwa anaongoza Ligi. Jana, Arsenal iliichapa Bournemouth 2-0 na kutwaa uongozi wa Ligi wakiwa na Pointi 39 kwa Mechi 19 wakifuata Leicester wenye Pointi 38 kwa Mechi 18, Tottenham ni wa 3 na wana Pointi 35 kwa Mechi 19 na wa 4 ni Man City wenye Pointi 35 kwa Mechi 18. Leo huko King Power...
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David...

Monday, December 28, 2015

  Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (mbele kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Selestine Gesimba wakati wa mapokezi yake leo tarehe 28 Desemba 2015 katika ofisi yake mpya Mpingo House mara baada ya kuapishwa Ikulu mapema asubuhi ya leo. Nyuma yake kulia ni naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Eng. Ramo Makani...

waliotembelea blog