BAO za Athletic Bilbao zimefungwa na Mikel San Jose mapema kipindi cha kwanza dakika ya 13 na kipindi cha pili dakika ya 53 Aritz Aduriz akaongeza bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya mabingwa Barcelona. Aritz
Aduriz alifunga tena bao dakika ya 62 na akaongeza bao la
tatu(Hat-trick) kwa kufunga penati dakika ya 68 na kufanya 4-0 dhidi ya
Barcelona. Ukuta wa Barca haukuwa imara usiku huu!Lionel Messi hoi!Vijana walipoweka 3-0
0 maoni:
Post a Comment