
Januzaji akishangilia bao lake

1-0 Man United Mbele!!

1-0

Furaha kwa Bao la Januzaj dakika ya 29

Mpaka ndani ya nyavu!!

Shangwe!
Januzaj
akipongezwa na baadhi ya wachezaji wenzake wa United baada ya kuipa bao
la kuongoza kipindi cha kwanza. Bao hilo pia liliweza kudumu hadi
kipindi cha dakika 90 na kufanya United kuibuka kidedea kwa bao hilo la
Januzaj kwa ushindi wa bao 1-0 na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu England
kwa kufikisha pointi 6.
Januzaji
dakika ya 29 kipindi cha kwanza anaipa bao la kwanza Man United kwa
kufanya 1-0 dhidi ya wenyeji wao Aston Villa. Bao hilo lilidumu mpaka
kipindi cha kwanza cha dakika 45 za kipindi cha kwanza United wakiwa
mbele ya bao 1-0.
Michael Carrick nafasi yake ilichukuliwa na Bastian

Jordan Amavi akichuana chini dhidi ya Ander Herrera

Meneja wa Man United Van Gaal

Depay akipagawa baada ya kukosa bao la wazi kipindi cha pili

Mkongwe Michael Carrick akiendesha mpira

Depay akichuana vikali usiku huu
0 maoni:
Post a Comment