Wachezaji wa timu za Boom FC na Vijana ya Ilala wakisalimiana kabla ya mchezo wao wa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup 2014 uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.Kikosi cha timu ya Vijana ya Ilala kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Boom FC katika Uwanja...
Friday, October 31, 2014
Thursday, October 30, 2014



Kikosi
cha Young Africans kimewasili jana mjini Kahama ambapo kitaweka kambi
ya siku ya tatu kabla ya kuelekea mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo wake
wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara siku ya jumamosi dhidi ya wenyeji
timu ya Kagera Sugar. Young Africans ikiwa mjini Kahama itacheza
mchezo wa kirafiki siku ya jumatano dhidi ya wenyeji timu ya Ambassador
FC ikiwa ni sehem ya maandalizi...
Sunday, October 26, 2014


Kocha wa Liverpool, Rogers baada ya Balotelli kubadilishana jezi Meneja wa Liverpool Brendan Rogers amesema atachukua hatua dhidi ya Baloteli baada ya Balotelli kubadilishana jezi na Pepe mchezajiwa Real Madrid muda wa mapumziko Jumatano katika mchezo wa klabu bungwa Ulaya ambapo liverpool ilifungwa 3-0 na mabingwa watetezi wa kombe hilo uwanja wa Anfield.
Rogers alisema “ kama unataka kufanya hivyo fanya mwisho wa mchezo. Nikitu ambacho nitakifanyia kazi alhamisi(leo)” Mario Balotelli dakika...


VIKOSI:Manchester United XI: De Gea, Rafael, Smalling, Rojo, Shaw, Blind, Fellaini, Januzaj, Di Maria, Mata, van Persie.Chelsea XI
Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Felipe Luis, Fabregas, Matic, Willian, Oscar, Hazard, DrogbaChelsea kuendelea kutema cheche tena leo?Diego Costa wenda akacheza kipindi cha pili!Radamel Falcao aliumia wenda hasicheze mtanange huu...


Sammy Ameobi akishangilia bao lake la kusawazisha.1-1. Ayoze Pérez Newcastle United wametoka nyuma ya bao 1-0 na kuwapita Spurs kwa bao 2-1 katika kipindi cha pili. Bao la kusawazisha lilifungwa kipindi cha pili mapema dakika ya 46 kupitia kwaSammy Ameobi na bao la kuongoza lilifungwa na Ayoze Pérez katika dakika ya 58.Emmanuel Adebayor aliwafungulia mlango Everton katika dakika...
Wednesday, October 22, 2014


3-0!!Wachezaji wa Real wakimpongeza mwenzao Karim Benzema baada ya kufunga bao la tatu kipindi cha kwanza cha dakika 45.Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la kwanza...
Bao la tatu lilifungwa na Karim Benzema
tena baada ya kupigwa kona na Pepe kujitwisha kichwa kwenye eneo hatari
ndani ya box na hatimae Karim Benzema kuupata na kuusindikiza langoni
mwa Liverpool na kumfunga kipa Mignolet...


Dakika za lala salama dakika ya 89 Gibbs
ndie aliyeisawazishia bao Arsenal na kufanya 1-1 hapo hapo kwenye
dakika za nyongeza Lukas Podolski alifunga bao la Ushindi na kufanya
2-1 dhidi ya RSC Anderlecht .Dakika
ya 71 kipindi cha pili Arsenal walifungwa bao na mchezaji Andy Najar
baada ya kupata krosi kama kona kutoka kwa Dennis Praet na kujitwisha
kichwa na kumfunga kipa wa Arsenal.Andy...


MSANII
wa Muziki wa Kizazi kipya nchini,Naseeb Abdul maarufu kama Diamond
Platnumz anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya
kuonekana na mavazi halisi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika
Tamasha la Fiesta lililofanyika jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Diamond amejikuta akifikia hatua hiyo
ikiwa ni siku moja tu baada ya Meneja wake Babu Tale kamatwa na jana kwa
kuhojiwa...



NeymaJr aliendeleza tabia
yake ya kufunga, huku Lionel Messi akiendelea kushindana na Cristiano
Ronaldo katika orodha ya kuwania ‘ heshima ya mfungaji bora wa muda
wote’ wa ligi ya mabingwa Ulaya. Messi pamoja na Ronaldo wamebakiza
mabao mawili mawili kila mmoja ili kufikia rekodi ya muda mrefu ya mabao
69 ambayo inashikiliwa na mshambulizi wa zamani wa Hispania na klabu ya
Real Madris, Raul...



Didier Drogba alifunga bao
lake la kwanza katika kikosi cha Chelsea. Drogba mara ya mwisho
aliifungia Chelsea katika mchezo wa fainali wa michuano hiyo dhidi ya
Bayern Munich miaka miwili iliyopita. Akiingia uwanjani kuchukua nafasi
ya Loic Remy aliyeumia katika dakika ya 16, Drogba alifunga kwa mkwaju
wa penalti dakika saba baadae. Chelsea ilichomoza na ushindi wa kishindo
wa mabao 6-0 dhidi...


Bayern Munich wakipongezana..Kipindi cha kwanza Bayern Munich wanaongoza bao 5-0 dhidi ya As Roma
Robben aanza kutema cheche!! Afungua
pazia kwa kufunga bao na kuitanguliza Bayern mbele ya bao 1-0. Arjen
Robben ndie aliyeanza kufunga bao la mapema dakika ya 8.Mario Götze
akaongeza bao la pili dakika ya 23, Huku Robert Lewandowski akichapa bao
la tatu dakika chache kupita kwenye dakika...


Kipindi
cha kwanza dakika ya 13 Loïc Remy anaipachikia bao Chelsea baada ya
kuwakaanga mabeki wa NK Maribor akipata pasi toka kwa kepteni John Tery
na kuwatanguliza mbele ya bao 1-0 dhidi ya NK Maribor.
D. Drogba aliifungia bao la pili dakika
ya 23 kwa mkwaju maridadi wa penati na bao la tatu alifunga Timu Kepteni
wao John Terry katika dakika ya 31. Kipindi...
Subscribe to:
Posts (Atom)