Thursday, February 27, 2014

REAL Madrid imejihakikishia kucheza robo fainali ya michuano ya  Ligi ya Mabingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Schalke 04 ya Ujerumani  mabao 6-1. Mchezaji bora wa dunia, Cristiano Ronaldo, mchezaji  aliyevunja rekodi ya usajili ulimwenguni Gareth Bale pamoja  na mchezaji mahiri Karim  Benzema walihakikisha...

Tuesday, February 25, 2014

Kipindi cha pili dakika 55 Mchezaji wa Olympiakos Joel Campbell akaiongezea bao la pili  timu yake kwa kufanya 2-0 dhidi ya United baada ya mabeki wa United kufanya makosa ya ukabaji na hatimaye Joel Campbell kufunga bao hilo kwa kupewa pasi safi na Michael Olaitan.Joel Campbell akipongezwa baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0 katika kipindi cha pili dakika 55 dhidi ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi ya Namibia (Brave Warriors) itakayochezwa Machi 5 mwaka huu jijini Windhoek, Namibia. Wachezaji walioitwa katika timu hiyo ni makipa Deogratius Munishi (Yanga), Ivo Mapunda (Simba) na Mwadini Ally (Azam). Mabeki wa pembeni ni Edward Charles (JKT Ruvu), Erasto...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimewaagiza wanachama wake- vyama vya mpira wa miguu vya mikoa kuwapatia orodha ya klabu zote za mpira wa miguu zilizosajiliwa katika mikoa yao. Orodha hiyo inatakiwa kujumuisha namba ya usajili wa klabu, viongozi waliopo madarakani kwa sasa pamoja na mawasiliano yao (namba za simu na anuani za email) na eneo yalipo makao ya klabu husika. Kwa...
Jose Mourinho ametoa ishara kwamba klabu yake ya Chelsea inaweza kutuma ofa ya kumsajili mshambuliaji wa kikolombia Radamel Falcao mara tu dirisha la usajili litakapofunguliwa. Meneja huyo wa Chelsea hakuonyesha kuficha matamanio yake ya kumleta mshambuliaji huyo wa Colombia darajani – Falcao ambaye kwa sasa ni majeruhi wa goti – ameripotiwa kwamba anataka kuondoka kwenye ligi kuu ya Ufaransa...
                                       Chanzo, soccerway.com, R.M LIGI KUU TANZANIA BARA Tuesday, 25 February 2014 Imetumwa kwenye Michezo Imesomwa mara: 16 Add new comment ...
Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo. Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake. Baadhi ya safu ya wanenguaji wa kike mahiri wa Extra Bongo. Wanenguaji katika pozi poa. Khadija Kopa na Abdul Misambano wa TOT. Khadija Kopa, Misambano na 'Okwi' shabiki wa Yanga. Lina na 'back-up singer' wake. Mamaa Winnie Masanja, mama watoto wa mwanamuziki Banza...
Iringa. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa amesema tatizo la umaskini linalowakabili Watanzania, linatokana na viongozi walioko madaraka kutokuwa waadilifu. Alisema Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi ambazo kama zikisimamiwa vyema taifa haliwezi kuwa na watu maskini kama ilivyo hivi sasa. Dk Slaa alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mikutano ya kampeni...
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania. ...Ally Rehmtulla, Martin Kadinda watunukiwa vyeti vya mafanikio Na Andrew Chale HALFA...

waliotembelea blog