Cricket | International
Andy Flower
Andy Flower imekuwa axed kama Kocha wa England zifuatazo timu ya hivi
karibuni majivu drubbing katika Australia, gazeti Uingereza Daily
Telegraph taarifa juu ya Ijumaa.
Kwa mujibu wa Telegraph, aliyekuwa Zimbabwe kimataifa Flower aliambiwa
wakati wake ulikuwa hadi wakati wa mkutano wa Bwana juu ya Alhamisi na
Paulo Downton, Uingereza...
Friday, January 31, 2014


Rugby | Mataifa sita
mpya SuperSport Club
sasa imekuwa ilizindua juu ya SuperBru, kuwezesha sisi kutoa kwa undani
michezo kuhusika kwa kuendesha predictor zaidi na fantasy michezo. Misimu yote mpya na mashindano kwamba kuanza katika 2014 sehemu ya SuperSport Club.
Juu ya wiki na miezi ijayo, utakuwa na uwezo wa kushiriki katika Super
Rugby, Varsity Cup,...


Marya (left) and Avril (right) are some of the artistes who have been dropped from the label. PHOTO| FILE
One
of the most successful Kenyan music production houses, Ogopa DJs, is on
fire. Sources told Off the Hook that the stable has allegedly refused
to renew all contracts for its artistes.
Among the artistes affected are Mustapha, Kenzo, Avril, Marya and
Trapee. It is still...



Marehemu Masoud Mohamed MC D enzi za uhai wake.
Marehemu
Masoud Mohamed maarufu kama MC D mpiga tumba wa Bendi ya Twanga Pepeta
amezikwa leo Saa Saba katika Makaburi ya Njoro yaliyopo Moshi Mkoani
Kilimanjaro. Katika Mazishi ya Mwanamuziki huyo wadau mbalimbali wa
muziki wa Dansi waliungana pamoja kumsindikiza MC D katika safari yake
ya Mwisho. Marehemu MC D alifariki...
Thursday, January 30, 2014


.
Mitambo
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha Adam Kigoma Malima alifanya ziara ya siku
mbili mkoani Kagera na kukagua miradi ya ujenzi wa vituo vya umoja wa ushuru na forodha (One Stop Border Post)Rusumo na Mtukula na ujenzi wa daraja la Kimataifa la Rusumo kati ya
Tanzania na Rwanda.
Naibu Waziri Adam Malima alifanya ziara hiyo mkoani Kagera kuanzia
tarehe...


Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mchumba wake.
Chanzo
makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole
nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu
ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo
mbalimbali.
“Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye
shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza...


MENEJA
wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho ameponda aina ya uchezaji wa timu ya
West Ham United na kudai kuwa ni wa karne ya 19 kufuatia timu yake
kutoa sare ya bila ya kufungana katika Uwanja wa Stamford Bridge.
Chelsea walifanya kila wanaloweza kuhakikisha wanapenya ngome ya West
Ham wanaonolewa na Sam Allardyce lakini walishindwa na kujikuta
wakigaana alama hivy kushindwa kuwafikia...


Julian Draxler: The €30million man?Welcome with open arms: Newcastle are in the chase for Clement Grenier Seal the deal? Yevhen Konoplyanka is Liverpool's chief targetDani Osvaldo: Is the Saints striker on his way to Juventus?Mirko Vucinic: is he Gunner join Arsenal?
Is Kurt Zouma heading to Chelsea?
...
Subscribe to:
Posts (Atom)