Wednesday, December 9, 2015


SAFU ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, imekamilika Jana na Timu za England, Arsenal na Chelsea, zilishinda hapo Jana na kutinga Mtoano.
Timu hizo zinaungana na Chelsea iliyofuzu mapema ikiwa na Mechi 2 mkononi.

Juzi Man United ilitolewa UCL na kutupwa UEFA EUROPA LIGI baada ya kumaliza Nafasi ya 3 kwenye Kundi B.
Man United sasa itacheza Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya Kombe hilo.
Droo za kupanga Mechi za Raundi ya Mtoano ya UCL na ile ya EUROPA LIGI itafanyika Desemba 14.
Giroud akishangilia mbele ya Meneja Wenger3-0Bao hilo lilifungwa kwa kupitia mkwaju wa penatiKipa Roberto hakuona ndaniGiroud akishangilia bao lakeGiroud pia ndie aliyefunga bao la pili na kufanya 2-0Pongezi zikiambatana na mshangao!Meneja Arsene WengerFlamini na Kassami wakigombea mpira wa kichwaKikosi cha ArsenalArsene Wenger na Msaidizi wake Kabla ya Mechi!
 


Garry Monk
Waving goodbye: Garry Monk

Tuesday, December 8, 2015


Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ni tuzo ambayo Ligi nyingi duniani huwa wanayo hata katika Ligi Kuu soka Tanzania bara huwa ipo, December 8 ndio siku ambayo Ligi Kuu Hispania ilitangaza tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, Neymar anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona ndio mchezaji aliyefanikiwa kutwaa tuzo hiyo kwa mwezi November.
Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ya Neymar inaingia katika rekodi za staa huyo, kwani stori kutoka fcbarcelona.com zinaeleza kuwa Neymar ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kuwahi kutwaa tuzo hiyo, rekodi ya Neymar sio tu ya kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza kwa upande wake ila ni mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kuwahi kutwaa tuzo hiyo rekodi ambayo haiwezi kuvunjwa.
hi-res-d2eea00c88e563ae6491c4ad75d141f5_crop_exact
Tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwezi ya Laliga imeanza kutolewa toka msimu wa 2013/2014, hivyo huu ni msimu wake wa tatu toka ianze kutolewa na imetolewa mara 21 hadi sasa, kwa maana hiyo Neymar ambaye ana magoli 14 katika msimamo wa wafungaji wa Ligi Kuu Hispania, ameweka rekodi ambayo haiwezi kuvunjwa kamwe na mchezaji wa FC Barcelona kwani hata mchezaji mwingine wa FC Barcelona akishinda tuzo hiyo Neymar ataendelea kuwa na rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kushinda tuzo hiyo.

Raheem Sterling alifunga bao mbili na kutengeneza mabao mengine Manchester City walipoichabanga bao 4 kwa 2 Borussia Monchengladbach_ 4-2 na kukaa kileleni kwenye Group D.Raheem Sterling akishangilia moja ya bao lake
Kolarov kwenye patashika baada ya kutupwa nje ya Uwanja na kuangukia kwa waandishi wa HabariHatari tupu!!!Chupuchupu!! Borussia Monchengladbach nao wakishangilia bao lao moja wapo
Silva akishangilia bao lake la kwanzaKikosi cha Man City


Manchester United imefungwa 3-2 na Wolfsburg Bao 3-2 kwenye Mechi ya Kundi B la UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL na kutupwa nje na sasa kucheza Raundi ya Mtoano ya EUROPA LIGI.3-2Kipigo hicho, na ushindi wa PSV Eindhoven wa Bao 2-1 dhidi ya CSKA Moscow, kumezifanya Wolfsburg na PSV kufuzu kwenda Raundi ya Mtoano ya UCL na Man united kumaliza Nafasi ya 3.
Hii ni mara ya kwanza kabisa kwa Wolfsburg kucheza Raundi ya Mtoano ya UCL. 
Naldo akipeta...
Huko Santiago Bernabeu, Cristiano Ronaldo alifunga Bao 4, Karim Benzema kupiga 3 na moja la Mateo Kovacic na kuwapa ushindi Real wa Bao 8-0 toka Kundi A.
Real, na PSG, ambao wameshinda 2-0 walipocheza na Shakhtar Donetsk zote zimesonga na Shakhtar itakwenda EUROPA LIGI.

Man City, ambao walikuwa washafuzu toka Kundi D, Leo wameichapa Borussia Mönchengladbach 4-2 na kumaliza kileleni mwa Kundi hilo na kufuatiwa na Juventus ambao Leo walifungwa 1-0 na Sevilla ambao wamemaliza Nafasi ya 3 na hivyo kwenda EUROPA LIGI.
Van Gaal akipagawa baada ya kutupwa njeNaldo ndiye aliyepeleka kilio baada ya kufunga bao la tatu kwa WolfsburgNaldo akitupia kwa kichwa mpira wa konaAkitupia bao la piliMata akishangilia baoMan United wakipongezana...Akishangilia bao1-1Raha ya kufunga bao!Kikosi cha Man United Van Gaal Mwenyekiti!Sir Alex Ferguson Sir BobbyMapema kabla ya Mechi walipokuwa wanapasha

waliotembelea blog