Monday, September 28, 2015



Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia na Kelvin Yondan (kulia) baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba.

Raha ya ushidi..............

Mshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kushoto) akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Yanga, Salum Telela na Haruna Niyonzima wakati wa mchezo wa Liku Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.



Uendondo Nkone (katika) akiimba moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano na waandashi wa habari kuhusu kuadhimishi miaka 10 tangu aanze huduma ya uimbaji.
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili nchini Upendo Nkone, kesho anatarajiwa kuadhinisha miaka 10 tangu aanze huduma hiyo ya uimbaji sambamba na uzinduzi wa albamu yake ya tano iitwayo ‘Omba Yesu Anasikia’ yenye jumla ya nyimbo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Nkone alisema mbali ya tukio hilo la kesho kubeba uzinduzi wa albamu mpya na maadhimisho ya miaka yake 10 katika huduma hiyo, pia kwake ni kumshukuru Mungu kujamlia uzima na afaya.


Cristiano Ronaldo chini akijiuliza huku  Malaga wakishangilia sare!

Santiago Bernabeu pawa pagumu kwa Ronaldo kajaribu zaidi ya mara 10 lakini hakupata bao lolote!

Ronaldo akipagawa baada ya kukosa nafasi ya kuifungia bao Real Madrid dhidi ya Malaga

Lionel Messi chini

Kipa wa Las Palmas Javi Varasakimwangalia Lionel Messi baada ya kuumia mguu

Baadhi ya Wachezaji wakiwa wamemzunguka Messi wakati akipata matibabu Uwanjani!



MABINGWA wa England Chelsea wamenusurika kipigo huko Saint James Park baada ya kutoka nyuma kwa Bao 2-0 na kupata Sare ya 2-2 katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Newcastle walitangulia Bao 2-0 kwa Bao za Perez na Wijnaldum lakini mabadiliko ya kuwaingiza Willian, Falcao na Ramires yaliwapa uhai Chelsea na kusawazisha Bao zote mbili kupitia Ramires na Willian.
Matokeo haya yamewaweka Chelsea Nafasi ya 15 wakiwa na Pointi 8 zikiwa ni Pointi 8 nyuma ya Vinara Man United wakati Newcastle wako Nafasi ya 19, ikiwa ni nafasi moja tu toka mkiani, wakiwa na Pointi 3 tu.
Bao mbili zilizofungwa na Ramires na Willian zikihitimisha dakika 90 baada ya kuwa nyuma ya bao 2-0 dhidi ya Newcatle United zimewaokoa Chelsea leo hii zilizofungwa ndani ya dakika 7 kabla ya mtanange kumalizika.Ayoze Pérez dakika ya 42 na kufanya 1-0 dhidi ya Chelsea.Jose Mourinh

Saturday, September 26, 2015


VIKOSI:
Leicester:
Schmeichel, De Laet, Huth, Morgan, Schlupp, Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton, Okazaki, Vardy. 

Akiba: King, Simpson, Kramaric, Ulloa, Schwarzer, Inler, Dodoo.

Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Walcott.
Akiba: Debuchy, Gibbs, Arteta, Giroud, Ospina, Oxlade-Chamberlain, Chambers.
Referee: Craig Pawson


Dakika ya 90 Juan Mata alifanikisha bao la tatu na kufanya mtanange umalizike dakika 90 kwa bao 3-0 Man United wakiibuka kidedea.Rooney akishangilia baada ya kuipatia bao la Pili Man UnitedKipindi cha pili dakika ya 45 Wayne Rooney aliifungia bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Sunderland.
Memphis Depay aliipeleka Man United Mapumziko za dakika ya 45 kwa bao 1-0 Man United dhidi Sunderland.Kipute kikiendelea kipindi cha kwanza.VIKOSI:Man Utd: De Gea, Valencia, Smalling, Blind, Darmian, Carrick, Schneiderlin, Mata, Rooney, Depay, Martial.
Akiba: Jones, Young, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Schweinsteiger, Andreas Pereira.

Sunderland: Pantilimon, Jones, Kaboul, O'Shea, Van Aanholt,
M'Vila, Cattermole, Johnson, Toivonen, Lens, Borini.
Akiba: Larsson, Gomez, Defoe, Coates, Yedlin, Mannone, Fletcher.
Refa: Mike Jones

waliotembelea blog