Monday, July 27, 2015


Dakika ya 90 kwenye muda la lala salama Rafinha aliwapachikia bao barcelona na kufanya 2-1 baada ya kusaidiwa mpira na Sergi Roberto, Lakini nao Man United walizinduka tena ndani ya muda huo huo kwenye majeruhi Adnan Januzaj aliongeza bao la tatu na kufanya 3-1 baada ya kupata mpira kwa kijana mdogo mwenzake Jesse Lingard na mtanange kumalizika kwa 3-1.
Dakika ya 65 kipindi cha pili Jesse Lingard anapatia bao la pili Man United kwa msaada ya Tyler Blackett, Sasa ni 2-0.
Kipindi cha pili dakika ya 63 Kikosi cha man United kilibadilishwa karibu chote na kuingia wengine. Mwamuzi wa mechi hii alikuwa ni Baldomero Toledo
Mchezaji wa Zamani wa Liverpool Louis Suarez akiachia shuti kali lililomzidi Daley blind Wayne Rooney na Gerard Pigue wakikabana Ashley Young na Adriano wakiruka juu kuutafuta mpiraWayne Rooney dakika ya 8 anaifungia bao la kuongoza Man United akipata usaidi  kutoka kwa Ashley Young.
Mbele ya Mashabiki 68,414 ndani ya Levi's Stadium huko Santa Clara, Californina, Manchester United imewafunga Mabingwa wa Ulaya na Spain Barcelona 3-1 kwenye Mechi ya Kitafiki ambayo ni mfululizo wa kugombea International Champions Cup.


Wayne Rooney akishangilia bao lake la mapema dakika ya 8.
Kepteni wa Man United Wayne Rooney ndie aliefunga Bao la kwanza alipounganisha kwa Kichwa Kona ya Ashley Young.
Mara tu baada ya Meneja Louis van Gaal kubadili Kikosi chake kizima baada ya Dakika 60, Man United walifunga Bao la Pili kupitia Jesse Lingard baada kuunganisha Krosi ya Tyler Blackett.
Wachezaji hao 11 walioingizwa ni Johnstone, Valencia, Smalling, McNair, Blackett, Lingard, Fellaini, Herrera, Wilson, Pereira na Januzaj.
Suarez aligonga mwamba hapa
Katika Dakika ya mwisho, Rafinha aliipa Barca Bao lao pekee lakini hapo hapo Adnan Januzaj akaipigia Man United Bao lao la 3.
Huu ni ushindi wa 3 katika Mechi zao zote 3 kwa Man United huko Ziarani USA walipoanza kwa kuifunga Club America ya Mexico na kufuatia ushindi dhidi ya Klabu ya Marekani San Jose Eartquakes.
Man United watacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Paris Saint-Germain hapo Jumatano.
Suarez akiwekwa chini na Darmian


Oliver Giroud akishangilia leo kwenye Uwanja wa EmiratesMzee Wenger na Msaidizi wake Bw. Steve B.Gibbs akikokota  mpira dhidi ya adui MehdiAlex akifanya yakeGiroud alianza kufunga bao la kwanzaGiroud akishangilia mara baada ya kuliona lango la wapinzani wao LyonOzil akiutuliza kiuzuri!Leo Mvua ya MabaoAlex Lwobi akishangilia mbele ya Mashabiki wa ArsenalShangwe!!Aaron Ramsey nae kachoma bao la nneRamsey akipongezwa na GiroudPongezi!Mesut Ozil alifunga bao la tanoOzil akishangilia kwa kufurahiSanti Cazorla alimalizia la 6 Leo tumebamiza Mtu!! raha ya Nyumbani!!
Ksher 2 

Ksher 1 
2015 tumeshuhudia mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume Tanzania wakitangaza nia ya kuingia bungeni akiwemo mwimbaji wa Taarab Mzee Yusuf, Profesa Jay, Steve Nyerere na kwa Wanawake waliojitokeza kuziwania nafasi za Ubunge wa viti maalum ni pamoja na waigizaji Wema Sepetu na Wastara, na msanii wa bongofleva Ksher.
Wema Sepetu na Wastara hawakupita kutokana na kukosa kura za kutosha lakini Khadija Shaaban (Ksher) amepita tena ambapo alithibitisha hayo na wakati mwingi kwenye maneno yake ya kujinadi ni ‘mara nyingi watu wanakosa uthubutu kutokana na kutojiamini kuwa vile walivyo wanaweza kufanya mambo makubwa ya ajabu bila kujali kiwango cha elimu, pesa au mtandao alionao’
Kwa upande wa Wastara, kwenye kura za maoni zilizopigwa akiwania Ubunge wa viti maalum kupitia Walemavu, zilipigwa kura 759, zikaharibika 40 huku Magreth Mkanga akipata kura 424, Wastara akishika nafasi ya pili kwa kuchukua kura 254 na Chausiku Lukinga 43.

Saturday, July 25, 2015










































waliotembelea blog