Monday, September 16, 2013

dr4
Wasanii wengi wa Tanzania moja ya kilio chao kikubwa ni kupata mikataba na makampuni tofauti kwa ajili ya kuwa mabalozi wa kuzitangaza bidhaa hizo.Hivi sasa mkongwe kutoka thamthilia hadi hivi sasa filamu, Dr Cheni ameteuliwa kuwa balozi wa simu mpya za kisasa ambazo zimeanza kuingia nchini aina ya Pantech.

Dr Cheni akiongea na millardayo.com amesema haya kuhusu ubalozi wake na hiyo simu,”Simu inaitwa Pantech, ni simu mpya kabisa na ina operating system ya Android version mpya. Ukizingatia sasa hivi internet ndiyo kila kitu kwenye simu za mkononi, Pantech inatumia 4G na LTE kwenye connection ya internet. Kitu kingine kizuri ni kwamba simu hii inauwezo wa kujichaji na nguvu za jua. Sasa jua letu hatutalichukia tena na pia ina camera nzuri ambayo inaitwa Spy camera yenye uwezo wa kupiga picha mbali sana.”
Dr Cheni aliendelea kuongelea kuhusu mkataba wake na majukumu yake,”Majukumu yangu hasa ni kuhakikisha simu hii watu wanatambua uwepo wake. Matangazo na promotion zinapofanyika nitakuwa na shiriki kikamilifu kabisa. Wamenipa mkataba wa mwaka mmoja kwa sasa na swali lako la thamani ya mkataba wangu naomba niweke kapuni kwasasa, ila millardayo.com itakuwa ya kwanza kujua thamani yake muda wa kuweka wazi ukifika. Ninachoweza kukwambia hivi sasa ni bei tu ya simu hizi ambayo ni Tsh 250,000 tu.”
Diamond,JB,AY,Mwana F.A,B12,Steve Nyerere ni Mzee Majuto  baadhi ya watu maarufu wa Tanzania ambao wanafanya kazi na kampuni tofauti kwa ajili ya kutangaza bidhaa zao.

dr1
dr2
dr3

Saturday, September 14, 2013

Usiku wa kuamkia leo, kampuni ya SK Entertainment ikishirikiana na Unity Entertainment, iliangusha party iliyopewa jina ‘East Meets West’ ambapo host alikuwa msanii wa Nigeria, J-Martins. Party hiyo ilitawaliwa na sherehe ya birthday kumpongeza Ommy Dimpoz aliyekuwa akisherehekea siku hiyo jana, Elements Lounge, Dar es Salaam. Tazama picha ya jinsi mambo yalivyokuwa.
  1. Arthur, J-Martins na Salama
  2. Arthur, J-Martins na Salama
  3. AY na Mwana FA wakiteta jambo
  4. AY na Mwana FA wakiteta jambo
  5. Baadhi ya warembo waliohudhuria party
  6. Baadhi ya warembo waliohudhuria party
  7. Baadhi ya watu waliohudhuria wakichukua picha
  8. Baadhi ya watu waliohudhuria
  9.  wakichukua picha
  10. Hamisa Mobeto
  11. Hamisa Mobeto
  12. J-Martins na Ommy Dimpoz
  13. J-Martins na Ommy Dimpoz
  14. J-Martins na Salma Msangi
  15. J-Martins na Salma Msangi
  16. J-Martins, Ommy Dimpoz na Man Walter
  17. J-Martins, Ommy Dimpoz na Man Walter
  18. Kuanzia kulia ni Gillsant Mlaseko, Carol Ndosi, Fid, Salama na AY. Aliyekupa mgongo ni Michel Mbwambo
  19. Kuanzia kulia ni Gillsant Mlaseko,
  20.  Carol Ndosi, Fid, Salama na AY. 
  21. Aliyekupa mgongo ni Michel Mbwambo
  22. Kumbukumbu
  23. Kumbukumbu
  1. Mboni Masimba, hi Dimpoz
  1. Mboni Masimba: Hi Dimpoz!!
  2. Mboni, jamani hawamuonei huruma Ommy
  3. Mboni: jamani hawamuonei huruma Ommy? 
  4. Jamaa wa pembeni, ‘mi simo’
  5. Meneja wa Heineken Tanzanua , Uche Unigwe, Ommy, Salama na rafiki
  6. Meneja wa Heineken Tanzania
  7.  , Uche Unigwe, Ommy Dimpoz, Salama na rafiki
  8. Mlaseko, Fid Q na Arthur
  9. Gillsant Mlaseko, Fid Q na Arthur
  10. Mrembo akicheza mbele ya J-Martins
  11. Mrembo akicheza mbele ya J-Martins
  12. Mrembo akipose kwenye camera ya Bongo5
  13. Mrembo akipose kwenye camera ya Bongo5
  14. Mrembo huyu aligeuka kivutio kwa uchezaji wake wa kichokozi
  15. Mrembo huyu aligeuka kivutio 
  16. kwa uchezaji wake wa kichokozi
  17. Mshindi wa BBA 3 Kevin Pam wa katkati akiwa na Lucci, kulia na rafiki
  18. Mshindi wa BBA 3 Kevin Pam
  19.  wa katkati akiwa na Lucci, kulia na rafiki
  20. Mwana FA, Wakazi na Ommy Dimpoz
  21. Mwana FA, Wakazi na Ommy Dimpoz
  22. Na Bado
  23. Na Bado!!
  24. Nimekasirika
  25. Nimekasirika
  26. Ommy Dimpoz akikata keki
  27. Ommy Dimpoz akikata keki
  28. Ommy Dimpoz akiogeshwa na pombe
  29. Ommy Dimpoz akiogeshwa na pombe na maji
  30. Ommy Dimpoz akionesha hana hamu kwa mvua ya pombe alizomwagiwa
  31. Ommy Dimpoz akionesha hana hamu
  32.  kwa mvua ya pombe alizomwagiwa
  33. Ommy Dimpoz akiwa na furaha tele
  34. Ommy Dimpoz akiwa na furaha tele
  35. Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA
  36. Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA
  37. Salma Msangi wa Channel Ten akichukua picha kwa ustadi
  38. Salma Msangi wa Channel Ten akichukua 
  39. picha kwa ustadi
  40. Sam Misago akichukua picha kwaajili ya blog yake
  41. Sam Misago akichukua picha kwaajili ya blog yake
  42. Sam Misago na Mwana FA
  43. Sam Misago
  44. Sister picha nzuri unachukua wewe tu
  45. Jamaa pembeni anaonekana akisema, ‘sister
  46.  picha nzuri unachukua wewe tu’
  47. Wakazi, Fid Q na Ommy
  48. Wakazi
  49. Wakazi
  50. Warembo wakipose kwenye camera
  51. Warembo wakipose kwenye camera
  52. Watangazaji wa Times FM, Raheem Da Prince na Cynder King wakiwa na warembo
  53. Watangazaji wa Times FM, Raheem 
  54. Da Prince na Cynder King wakiwa na warembo
  55. Yalaaaaaa
  56. Yalaaaaaaaaaaa
  57. DSC_6307 (900x604) (604x405)
  58. DSC_6312 (900x604) (604x405)
  59. DSC_6314 (900x604) (604x405)
  60. DSC_6326 (900x604) (604x405)
  61. DSC_6328 (900x604) (604x405)
  62. DSC_6332 (900x604) (604x405)
  63. DSC_6342 (900x604) (604x405) 
  64. DSC_6352 (900x604) (604x405)
  65. DSC_6353 (900x604) (604x405)
  66. DSC_6358 (900x604) (604x405)
  67. DSC_6361 (900x604) (604x405)
  68. DSC_6373 (900x604) (604x405)
  69. DSC_6378 (900x604) (604x405)
  70. DSC_6389 (604x900)
  71. DSC_6398 (900x604) (604x405)
  72. DSC_6399 (900x604) (604x405)
  73. DSC_6405 (900x604) (604x405)
  74. DSC_6414 (900x604) (604x405)
  75. DSC_6427 (900x604) (604x405)
  76. DSC_6433 (604x900)
  77. DSC_6437 (900x604) (604x405)
  78. DSC_6444 (900x604) (604x405)
  79. DSC_6447 (900x604) (604x405)
  80. DSC_6449 (900x604) (604x405)
  81. DSC_6459 (604x900)
  82. DSC_6463 (900x604) (604x405)
  83. DSC_6464 (900x604) (604x405)
  84. Vijana wakicheza wimbo maarufu wa Mafikizolo, Khona
  85. DSC_6465 (900x604) (604x405)
  86. DSC_6469 (900x604) (604x405)
  87. DSC_6472 (900x604) (604x405)
  88. DSC_6473 (900x604)

waliotembelea blog