Wednesday, September 30, 2015


Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.

Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.


Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, waliofunga barabara ili azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muheza wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).



Umati wa wakazi wa mji wa Muheza.

Ilikuwa ni furaha kwa kila aliemuona Mh. Lowassa alipokuwa akizungumza nao.





Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, mara baada ya kuzungumza nao, wakati akiwa safarini kwa kuelekea Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.



Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake leo Septemba 29, 2015.


Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa Korogwe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga leo Septemba 29, 2015.




Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Korogwe, Mkoani Tanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga leo Septemba 29, 2015.

















Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu Hongera Baa, Sinza jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku.

Afisa Habari BASATA Aristides Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza

Washiliki wa shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa shindano la “Valeur Comedy Nights” leo jijini Dar es Salaam


Theo WalcottCoquelinWachezaji wa Arsenal wakiwa mazoezini Mzee Wenger akiwa karibu na Vijana wakeTheo Walcott (katikati) atawaongoza wenzake kushinda tena...dhidi ya Olympiacos?TheoOlivier GiroudPetr Cech na Per M.Meneja wao Arsene Wenger akiwacheki wakati wa mazoezi Vijana wakeSanti Cazorla Alex Oxlade-ChamberlainPaulista akiwa kashika mpira (katikati)

waliotembelea blog