Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza (wa pili kulia) akishangilia
sambamba na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la tatu
dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na
Francis Dande)
Beki wa Simba, Emery Nibomana (kulia) akichuana na mchezaji wa Kagera
Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Hamis Kiiza akichini wakati wa harakati za kufunga goli.
Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kizza akichuna na beki wa Kagera Sugar,
Ibrahim Job wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Tumewashika...............
Hureeeeee
Raha ya ushindi........
Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanon akijaribu kumzuia mshambuliaji wa
Simba, Peter Mwalyanzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Dylan Kerry akisalimia na kocha mwenzake wa Kagera Sugar, Mbwana Makata.
Mshambuliaji wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera
Sugar, George Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera
Sugar, George Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera
Sugar, George Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mwamuzi
wa mchezo kati ya Simba naKagera Sugar, Abdallah Kambuzi kutoka
Shinyanga akimkabidhi mpira mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza baada ya
kuifungia timu yake mabao matatu ‘hat trick’ katika mchezo wa Ligi Kuu
ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.