MABINGWA
watetezi Tanzania bara Yanga wamelazimishwa sare ya bao 1-1 katika
mchezo wa 17 wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara dhidi ya African Lyon.
Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,
mabao yalifungwa na Ludovick Venance wa African Lyon na Amis Tambwe kwa
upande wa Yanga. Sare hiyo itaendelea kuibakiza Yanga kwenye nafasi
ya pili ikifikisha jumla ya pointi...
Saturday, December 24, 2016


Mechi 14 za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika wakati huu wa
msimu wa kufunga mwaka 2016 na mbili za zitafungua mwaka 2017 ambako
Kituo cha Televisheni cha Azam - Wadhamini wenza wa ligi hiyo,
wamethibitishia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupata
burudani kwa michezo yote kulingana na ratiba. Katika Ligi hiyo
ambayo pia inabarikiwa na Benki ya Diamond Trust (DTB),...
Thursday, December 22, 2016



FIFA
Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani ambayo ni ya mwisho kwa Mwaka
2016 na Argentina wameendelea kushika Nambari 1 wakifuata Brazil.
Tanzania imepanda Nafasi 4 na sasa ipo ya 156 kutoka ile ya 160 ya Mwezi uliopita. Mwezi
Januari Mwaka huu Tanzania ilikuwa ya 126 na kupanda hadi 125 Mwezi
Februari, kushuka 130 Aprili na kuyumba lakini Julai ikawa ya 123 na
baada ya hapo mporomoko...


KIUNGO wa Manchester United Henrikh Mkhitaryan Leo amezoa Tuzo yake ya 6 mfululizo kama Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Nchi yake Armenia. Hii
ni Tuzo yake ya 7 tangu avuke Umri wa Miaka 20 na kumfanya awemo kwenye
Rekodi za Mastaa wa Dunia waliozoa mara nyingi Tuzo za aina hiyo. Anaeongoza
kwa Tuzo aina hii kwa Nchi yake ni Mchezaji mwenzake Mkhitaryan huko
Man United, Zlatan Ibrahimovic, ambae...


Straika
wa Mabingwa wa England Leicester City anaechezea England Jamie Vardy
sasa atakosa Mechi 3 baada ya Rufaa yake kupinga Kadi Nyekundu aliyopewa
Jumamosi Leicester ikitoka 2-2 na Stoke City kutupiliwa mbali. Vardy, mwenye Miaka 29, atazikosa Mechi za Leicester dhidi ya Everton, West Ham na Middlesbrough. Vardy alitolewa nje na Refa Craig Pawson katika Dakika ya 28 kwa Rafu ya Miguu...


KILE
Kifungo cha Real Madrid walichoshushiwa na FIFA cha kutosajili
Wachezaji Wapya hadi Januari 2018 sasa kimepunguzwa na CAS, Court of
Arbitration for Sport, Mahakama ya Usuluhishi Michezoni, na sasa
wataruhusiwa kusajili Wapya kuanzia Julai, 2017. Awali FIFA
iliwafungia Real kutosajili Wachezaji Wapya kwa Madirisha Mawili ya
Uhamisho ikimaanisha yale ya Januari 2017 na Julai 2017 kwa...


Miss Puerto Rico Stephanie Del Valle is crowned after winning the Miss
World 2016 Competition in Oxen Hill, Maryland, U.S., December 18, 2016.
REUTERS/Joshua Roberts
Miss Puerto Rico Stephanie Del Valle (C) reacts to being named Miss
World as Miss Philippines Catriona Elisa Gray (L) and Miss Kenya Evelyn
Njambi Thungu watch during the Miss World 2016 Competition in Oxen Hill,
Maryland,...


RATIBA LIGI KUU ENGLANDIjumaa Desemba 23 African Lyon v Yanga [Uhuru Stadium, Dar es Salaam]
Jumamosi Desemba 24 Mbeya City v Toto Africans [Sokoine, Mbeya] Kagera Sugar v Stand United [Kaitaba, Bukoba] Ndanda FC v Mtibwa Sugar [Nangwanda, Mtwara] Simba v JKT Ruvu [Uhuru Stadium, Dar es Salaam] Majimaji FC v Azam FC [Majimaji, Songea] Mwadui FC v Mbao FC [Mwadui Complex, Mwadui] Jumatatu...


RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND BOXING DAY
Jumatatu Desemba 2615:30 Watford v Crystal Palace 18:00 Arsenal v West Bromwich Albion 18:00 Burnley v Middlesbrough 18:00 Chelsea v Bournemouth 18:00 Leicester City v Everton 18:00 Manchester United v Sunderland 18:00 Swansea City v West Ham United 20:15 Hull City...
Wednesday, December 14, 2016


MCHEZAJI wa Kimataifa wa Algeria Riyad Mahrez ametwaa Tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora Afrika kwa Mwaka 2016. Mahrez,
Mzaliwa wa France mwenye Miaka 25, aliisaidia mno Leicester City kutwaa
Ubingwa wa England Mwezi Mei kwa mara ya kwanza katika Historia yao na
hilo limempa Tuzo hii maarufu na inayosifika ya BBC, Shirika la
Utangazaji la Uingereza. Mapema Mwaja huu, Mahrez alitunukiwa Tuzo
ya...


CRISTIANO
RONALDO ameshinda Tuzo maarufu na iliyotukuka ya Ballon d'Or kutoka
Listi ya Wagombea 30 akiwemo alieishika kmWaka Jana Lionel Messi. Hii sasa ni mara ya 4 kwa Ronaldo kutwaa Tuzo hii akizidiwa mara 1 tu na Messi. Ballon
d'Or inasimamiwa na Jarida maarufu France Football na Mshindi wake
hupatikana kwa Kura za Wanahabari 173 toka kila pembe ya Dunia. France
Football imekuwa ikisimamia...


DROO
ya Raundi ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika huko Nyon, Uswisi
na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa kucheza na Napoli. Arsenal ya England itacheza na Vigogo wa Germany wakati PSG ikiivaa FC Barcelona. Manchester Citi itaikwaa Monaco wakati Mabingwa wa England Leicester City wakicheza na Sevilla ya Spain. DROO KAMILI: Sevilla v Leicester PSG v Barcelona Leverkusen v Atletico...



Leo
Jumatano zipo Mechi 8 za EPL na Vinara Chelsea wapo Ugenini Stadium of
Light kucheza na Sunderland, Liverpool Ugenini na Boro, Man United
Ugenini na Crystal Palace wakati Spurs wako kwao kucheza na Hull City. Mechi
hizo ni mwendelezo wa Mechi 2 za Jana za Raundi ya 16 ya EPL ambapo
Arsenal walipoteza nafasi ya kutwaa uongozi wa Ligi walipotandikwa na
Everton 2-1 huko Goodison Park...
Sunday, December 11, 2016



Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye
akiwapongeza Wasanii mbalimbali waliojinyakulia tuzo zao usiku wa
leo,zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,ambapo Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba ameibuka kinara kwa kujinyakulia
tuzo tatu.
Waziri wa Habari, Utamaduni...
Subscribe to:
Posts (Atom)