Ligi
Kuu ya Vodacom inatarajiwa kendelea kutimua vumbi mwishoni mwa wiki
katika sita nchini, kwa michezo minne kucheza siku ya jumamosi na
michezo mwiwili kuchezwa siku ya jumapili. Jumamosi uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Kagera Sugar watakuwa wenyeji wa Simba SC kutoka jijini Dar es salaam, huku jijini Tanga Coastal Union wakiwakaribisha maafande wa jeshi la Magereza nchini Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Siku ya jumapili Stand United watawakaribisha wakata miwa kutoka Morogoro Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Kambarage, huku Mgambo Shooting wakiwa wenyeji wa timu ya Polisi Morogoro kwenye uwanja wa Mkwakani jijini Tanga.
RSS Feed
Twitter
10:26 PM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment