Friday, April 24, 2015

NI Barcelona vs Bayern Munich na Juventus vs Real MadridIlivyokuwa huko Nyon Uswisi leo wakati wa droo ya UEFA general secretary Gianni Infantino.Itakuwa patashika nguo kuchanika hapa!!BARCELONA vs BAYERN MUNICH JUVENTUS vs REAL MADRID EUROPA LEAGUE..LIVE DRAW SEVILLA vs FIORENTINA NAPOLI vs DNIPRO Albert Soler, Amador Bernabeu, Ludovic Giuly y Jordi Mestre forman la comitiva del Barça ...
ZURII HOUSE OF BEAUTY AND BONGO DEEJAYS PRESENT!! Londons Rugby 7's After Party, Appearing Live, Bongo Flava recording artist from Tanzania most famous for his song "Number One". Diamond Platnumz will be preforming with his WCB dancers and special guests at the Royal Regency Banquet Hall for one night only. THE ROYAL REGENCY 501 HIGH STREET NORTH MANOR PARK For Front Row V.I.P Tables...
VINARA wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, Ijumaa wanaingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Ruvu Shooting wakijua ushindi Mechi hii na mwingine hapo Jumatatu dhidi ya Polisi Moro utawapa Ubingwa huku wakiwa na Mechi 2 mkononi.Hivi sasa Yanga wako kileleni wakiwa na Pointi 49 kwa Mechi 22 wakifuatiwa na Mabingwa Watetezi Azam FC wenye Pointi 42 kwa Mechi 22 na Simba wapo Nafasi ya 3...
UROPA LIGI, Mashindano makubwa ya pili kwa Klabu Barani Ulaya, Usiku huu Alhamisi yamemaliza Mechi zake za Robo Fainali na Mabingwa Watetezi Sevilla ya Spain, Dnipro Dnipropetrovsk ya Ukraine na Timu mbili za Italy, Fiorentina na Napoli, zimefuzu kuingia Nusu Fainali. FIORENTINA 2 vs 0 DYNAMO KIEVFiorentina wamefuzu kuingia Nusu Fainali ya EUROPA LIGI baada ya kuitandika Dynamo Kiev...

Thursday, April 23, 2015

Usiku huu EUROPA LIGI watakamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Fainali na Timu 4 Washindi zitaingizwa kwenye Droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali ambayo pia ni huru bila kujali Utaifa. Mechi za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa Mei 7 na 14 ni Marudiano. Kocha wa Napoli Rafael Benítez akiteta na Gökhan Inler MazoeziniKocha wa Napoli Rafael BenítezKocha wa Napoli Rafael Benítez(kulia)...
Ijumaa Aprili 24 Mchana huko Nyon, Uswisi kwenye Makao Makuu yao, UEFA itaendesha Droo maalum za kupanga Mechi za Nusu Fainali za Mashindano yao makubwa kwa Klabu za Ulaya yale ya UEFA CHAMPIONS LIGI na EUROPA LIGI. Jana UEFA CHAMPIONS LIGI ilikamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Famili na Timu 4 zimetinga Nusu Fainali. Timu hizo 4 ni Mabingwa Watetezi Real Madrid na wenzao wa Spain,...
Wachezaji wa Simba wakishangailia baada ya kupata bao. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru Chanache...

Wednesday, April 22, 2015

Sina mbavu mieee nipisheeee!!! Chicharito baada ya kuizima Atletico Madrid usiku huu!Chicharito akishangilia bao lake la pekee baada ya kuifungia na kuipa Ushindi Real usiku huu dhidi ya Atletico Madria kwenye marudiano ya Klabu Bingwa Ulaya. Bao hilo limewapeleka Real Madrid Nusu Fainali ya 31 na Droo ya Nusu Fainali itachezeshwa Ijumaa ya wiki hii.Javier Hernández aliwafungia bao Real...

waliotembelea blog