Thursday, March 26, 2015


Meneja wa Chelsea Jose Mourinho ndie yupo juu kwenye Listi ya Mameneja wa Soka wanaevuna fedha nyingi na kwenye 5 Bora pia wamo wenzake wa Ligi Kuu England Arsene Wenger wa Arsenal na Louis van Gaal w Manchester United. Orodha kamili ni kama ifuatavyo:
1. Jose Mourinho (Chelsea) - £13.2m Kipato kwa Mwaka
2. Carlo Ancelotti (Real Madrid) - £11.4m
3. Pep Guardiola (Bayern Munich) - £11.2m
4. Arsene Wenger (Arsenal) – £8.3m
5. Louis van Gaal (Manchester United) - £7.3m
6. Fabio Capello (Russia) - £6.6m
7. Andre Villas-Boas (Zenit St Petersburg) - £6.25m
8. Sven-Goran Eriksson (Shanghai) - £5.9m
9. Jurgen Klopp (Borussia Dortmund) - £5.3m
10. David Moyes (Real Sociedad) - £5.1m
10. Laurent Blanc (Paris Saint Germain) - £5.1m
10. Rafael Benitez (Napoli) - £5.1m
13. Walter Mazzarri (Alikuwa Inter Milan) - £5m
14. Roberto Di Matteo (Schalke) - £4.4m
15. Luis Enrique (Barcelona) - £4m

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog