Jose
Mourinho ameelezea nia yake kutwaa Mataji mengine mara baada ya Jana
Uwanjani Wembley Jijini London Timu yake Chelsea kuichapa Tottenham
Hotspur Bao 2-0 na kubeba Capital One Cup likiwa ni Kombe lake la kwanza
tangu arejee kwa mara ya pili Klabuni Chelsea. Bao za Chelsea hapo Jana zilifungwa na Nahodha John Terry na Kyle Walker aliejifunga mwenyewe.
Chelsea hivi sasa wanaongoza Ligi Kuu England wakiwa Pointi 5 mbele ya Mabingwa Watetezi Manchester City huku wakiwa wamecheza Mechi 1 pungufu.
CAPITAL ONE CUP
WASHINDI WALIOPITA:
1961 - Aston Villa
1962 - Norwich City
1963 - Birmingham City
1964 - Leicester City
1965 - Chelsea
1966 - West Bromwich Albion
1967 - Queens Park Rangers
1968 - Leeds United
1969 - Swindon Town
1970 - Manchester City
RSS Feed
Twitter
9:58 PM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment