Elia - SouthamptonTorres - Atletico MadridValdes - (Huru) Man UnitedLucas Podolski - Arsenal kwenda Inter MilanDarren Bent - Aston Villa kwenda DerbyYaya Sanogo kutoka Arsenal kwenda Crystal Palace kwa mkopoShaqir kutoka Bayern Munich kwenda Inter MilanWilfried Bony kutoka Swansea City kwenda Man City kwa kitita cha Paundi 28MDefoe - Toronto to SunderlandAndrej - kwenda LeicesterBielk kwenda...
Saturday, January 31, 2015
Thursday, January 29, 2015


LIGI KUU ENGLANDRATIBA:Jumamosi Januari 3115:45 Hull v Newcastle 18:00 Crystal Palace v Everton 18:00 Liverpool v West Ham 18:00 Man United v Leicester 18:00 Stoke v QPR 18:00 Sunderland v Burnley 18:00 West Brom v Tottenham 20:30 Chelsea v Man City Jumapili Januari 1816:30 Arsenal v Aston Villa...



Ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) upo nchini kuchunguza tuhuma za upangaji matokeo. Waamuzi
waliosimamishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja
na watu wengine watahojiwa na ujumbe huo. Matokeo ya uchunguzi huo
yatatangazwa na FIFA baada ya shughuli hiyo kukamilika. Tunaendelea
kuwahimiza wanafamilia wa mpira wa miguu wazidi kuzingatia kanuni...


2-3(Ag
2-4) ndivyo majibu yalivyokuwa mpaka dakika ya mwisho ya dakika ya 90
na Barca kuibuka na Ushindi huku mchezaji wao matata Neymar akiifungia
bao 2.Neymar
aliwafungia bao la tatu Barcelona baada ya kuwachomoka mabeki wa
Atletico Madrid kwa kuwakacha na Jordi Alba kutoa pasi aliyoimalizia
Langoni Neymar katika dakika ya 41.Bao
la kusawazisha Barca wamejifunga wenyewe Atletico Madrid...
Subscribe to:
Posts (Atom)