Wednesday, December 31, 2014

Na Bertha Lumala, Dar es SalaamVinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Mtibwa Sugar FC wamewaahidi wapenzi wa soka visiwani Zanzibar kufurahia makali yao ya msimu huu watakaposhiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi mwakani.Mtibwa Sugar FC, mabingwa wa Tanzania Bara 1999 na 2000, ni miongoni mwa timu nne za VPL zilizoalikwa na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kushiriki...
MOTO WA BURUDANI KUWAKA COCO BEACH MWAKA MPYA Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam.Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili litakalokutanisha...
MSIMAMO ULIVYO: PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Chelsea1914412746 2Manchester City1913422443 3Manchester United1910631436 4Southampton1910361733 5Arsenal199641133 6West Ham United19946731 7Tottenham Hotspur19946031 8Liverpool19847128 9Swansea City19847128 10Newcastle United19757-626 11Stoke City19748-225 12Everton19568-221 13Aston Villa19568-1121 14Sunderland193115-1120 15Queens Park Rangers195311-1318 16West...

Monday, December 29, 2014

Mshambuliaji wa Chelsea na Spain Fernando Torres atajiunga moja kwa moja na AC Milan hapo Januari 5.Torres, mwenye Miaka 30, alijiunga na AC Milan ya Italy kwa Mkopo tangu Mwezi Agosti lakini sasa Mkataba utabadilishwa na kujiunga kwa kudumu na Klabu hiyo ya Serie A.Torres alijiunga na Chelsea kutoka Liverpool Januari 2011 katika Uhamisho ulioweka Rekodi ya Uingereza wakati huo wa Dau...

Saturday, December 27, 2014

Chini ya Uongozi wa Mtunzi na Mwimbaji Mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi wa Raha Bukoba wa Lina's Night  Club akiwa sambamba na  Safu yake ya  ushambuliaji ya Malaika Band.  BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella ‘Obama’ usiku huu ilitoa Burudani kali ya kukata na...
Chini ya Uongozi wa Mtunzi na Mwimbaji Mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi wa Raha Bukoba wa Lina's Night  Club akiwa sambamba na  Safu yake ya  ushambuliaji ya Malaika Band.  BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella ‘Obama’ usiku huu ilitoa Burudani kali ya kukata...

waliotembelea blog