Tuesday, September 30, 2014

Paris St-Germain watatinga Mechi hii ya Nyumbani kwao ya Kundi F dhidi ya FC Barcelona bila ya Straika wao mahiri Zlatan Ibrahimovic ambae ameumia kifundo cha Mguu. Katika Mechi za kwanza za Kundi lao, PSG ilitoka Sare na Ajax na Barcelona kuichapa Apoel Nicosia Bao 1-0. Wakati PSG hawajafungwa hata Mechi moja katika Mechi 9 Msimu huu, ingawa 6 kati yake ni suluhu, Barcelona wamekuwa...
Dakika ya 15 Peter Crouch aliifungia bao la kwanza la kichwa na kuifanya Stoke City kuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle baada ya Victor Moses kutoa krosi safi kwa Crouch ambaye ameunga kwa kichwa hadi langoni mwa Newcastle.Kibarua mashakani kwa kocha Pardew!  Mpaka mapumziko Stoke ndio ilikuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle United.Ushindi wa kwanza wa Nyumbani kwa Stoke...
Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, JacksonMmbando...

Wednesday, September 24, 2014

Edu Albácar ndie aliyeanza kuifunga Real bao dakika ya 15 bao la mkwaju wa penati.Gareth Bale hakuchukua muda dakikia 20 alisawazisha bao la hilo kwa kichwa na kufanya 1-1.Cristiano Ronaldo alifunga bao la pili dakika ya 28 na kufanya 2-1 na baadae dakika ya 32 akaifungia bao tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Elche kwenye Uwanja wa Nyumbani Bernabeu na ukishuhudiwa na Mashabiki 65,000.Bao zote tatu...
Wachezaji wa Southampton wakipongezana baada ya kuifunga bao la pili Arsenal kwenye Uwanja wao wa Emirates, Bao lililofungwa na Nathaniel Clyne dakika ya 40 kipindi cha kwanza.Nathaniel Clyne akifunga bao la pili.2-1Kipindi cha Kwanza dakika ya 14 Alexis Sánchez aliwapatia bao la kwanza Arsenal kwa frii kiki na kufanya bao kuwa1-0 dhidi ya Southampton. Dakika ya 20 Dusan Tadic aliisawazishia...

Tuesday, September 23, 2014

Warembo 15 kati ya 30 wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakisindikizwa na mkali wa Bongo Fleva kutoka Jijini Dar es Salaam, Tunda Man, wametoa burudani kali wakati wa shindano dogo la awali la kumtafuta mrembo mwenye kipaji lililofanyika Babati Mkoani Manyara. Pichani juu ni washindi wa tano waliofanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo la vipaji litakalofanyika jijini...
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MBEYA City fc imepata pigo baada ya wachezaji wake watatu kuumia katika mechi ya jumamosi iliyopita dhidi ya JKT Ruvu  iliyomalizika kwa suluhu ya bila kufungana, uwanja wa Sokoine, Mbeya, na watakaa nje ya uwanja kwa wiki mbili. Afisa habari wa klabu hiyo, Dismas Ten ameiambia MPENJA BLOG mchana huo kuwa baada ya mechi iliyopita, wachezaji watano...
Na Baraka Mpenja, Dar esl salaam IMEELEZWA kuwa mshambuliaji wa Simba sc, Mkenya Paul Kiongera Mungai leo amefanyiwa vipimo hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufuatia kuumia goti katika sare ya 2-2 dhidi ya Coastal Union, jumapili iliyopita uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Katika vipimo vya awali, Kiongera amebainika kuwa na majeruhi sugu ya goti kama ilivyowahi kuelezwa na mtandao...
Aliyekuwa Rais wa TFF, Leodigar Chila Tenga alikuwa mchezaji muhimu wa Taifa Stars miaka ya 1980 HISTORIA inaonesha kuwa zamani mpira wa miguu ulikuwa unachezwa kutoka ngazi ya chini mpaka juu na walipatikana wachezaji wengi wa kulisaidia taifa. Taifa Stars iliyoshiriki michuano ya mataifa ya Afrika nchini Nigeria miaka ya 1980, ni ushahidi tosha juu ya suala hilo. Katika kipindi hicho...

waliotembelea blog