Washiriki
wa shindano la Redd’s miss Kinondoni 2014 wakiwa katika picha ya pamoja
kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Hotel ya Picolo jijini Dar es
Salaam, Jumla ya warembo 20 wapo mazoezini kujiandaa na shindano
litakalofanyika ijumaa 15/08/2014 katika Fukwe za Escape One kwa
kiingilio cha 10,000 na 30,000 kwa VIP. Wanyange 20 kuchuana jukwaani kutafuta mshindi Warembo wakiwa kwenye picha ya pamoja Fainali wiki ijayo Agost 15
0 maoni:
Post a Comment