![](//1.bp.blogspot.com/-Kf6Dp9nzOV0/UYxS1vdihnI/AAAAAAAAJJI/2MTELq8IXbs/s000/date.png)
8:30 AM
![](//2.bp.blogspot.com/-KsISg7lKRxM/UYxS2WyOSBI/AAAAAAAAJJQ/R416Afh-K1I/s000/user.png)
Unknown
Ni
abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar
Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014
ambapo lilipofika Msata karibu na daraja la Wami lilipata ajali baada ya
kupasuka tairi la mbele kushoto na kisha kupinduka.
0 maoni:
Post a Comment