

Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo
Star Search 2013 kimekamilika leo alfajiri kwenye ukumbi wa Escape 1.
Mashindano hayo yalikua na jumla ya washiriki watano
ambao ni Amina Chibaba,Elizabeth Mwakijambile,Emmanuel Msuya,Maina
Thadei na Melisa John,ambao walipita kwa round tatu kisha majaji
kuwapunguza watatu na kisha kubakia Emanuel Msuya na Elizabeth
Mwakijambile katika Round ya 4 na ya mwisho.

Katika
round ya mwisho,Emmanuel Msuya ameibuka kidedea na kuwa Mshindi wa Epiq
Bongo Star Search 2013,akiwa ni mshiriki anaetokea Jijini Mwanza na
kumpokea taji water chilambo ambae alikua mshindi wa mwaka jana.
0 maoni:
Post a Comment