Thursday, April 27, 2017

Maruane Fellaini ameondeshwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa mchezaji wa City Kun Aguero huku akiwa na kadi ya njano kipindi cha pili. Pia mchezo huo uliomalizika bila ya kufungana kwa kutoka 0-0 umekuwa ni afueni kwa Man United kwa kuendeleza mechi nyingi bila kufungwa msimu huu. Na huku wakionekana kupanda kujihakikishia kuwa kwenye nafasi ya kugombea nafasi ya nne bora ili kucheza...

Sunday, April 23, 2017

Baada ya kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League kwa timu ya FC Barcelona usiku wa April 23 2017 walisafiri hadi katika jiji la Madrid kuendeleza harakati zao za kuwania Kombe la LaLiga kwa kucheza dhidi ya wapinzania wao wa jadi Real Madrid katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Mastaa wa zamani wa Real Madrid Ronaldo de Lima na Luis...

Thursday, April 6, 2017

Premier League PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Chelsea3023343872 2Tottenham Hotspur3019833865 3Liverpool3117952760 4Manchester City3017762358 5Arsenal2916672554 6Manchester United29141231954 7Everton3114981951 8West Bromwich Albion3112811-144 9Southampton2910712-137 10Watford3010713-1237 11Leicester City3010614-1036 12Stoke City319913-1236 13Bournemouth319814-1235 14Burnley3110516-1235 15West...

Wednesday, April 5, 2017

Uongozi wa Yanga umeweka bayana kwamba hauna mpango wa kumzuia mchezaji yeyote kuondoka iwapo atahitaji kuihama klabu hiyo Mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Yanga SC ambao ndio wanaoongoza kwenye msimamo wa ligi msimu huu kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya mahasimu wao Simba huku kila timu ikibakiwa na mechi tano kumalizika, wamtamka kuwa mchezaji yeyote anayetaka...

Tuesday, April 4, 2017

EPL RATIBAJumanne Aprili 4 2145 Burnley v Stoke City 2145 Leicester City v Sunderland 2145 Watford v West Bromwich Albion 2200 Manchester United v Everton MANCHESTER UNITED Jumanne Usiku wako kwao Old Trafford kucheza na Everton kwenye Mechi ya EPL, Ligi Kuu England, ambayo hiyo na ile inayufuatia Wikiendi inayokuja dhidi ya Sunderland ndiyo itatoa...
Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Ghent nchini Ubelgiji wamegundua njia mpya ya kutengeneza mafuta ya kuendeshea gari kwa kutumia majani ‘Biofuel’ ambapo kwa mujibu wa wanasayansi hao, majani yana uwezo wa kutengeneza kiwango kikubwa cha ‘decane’ ambacho hutumika katika kuzalisha mafuta. Akizungumza na Science Daily, Professa Way...

Monday, April 3, 2017

Moja kati ya majina yaliojipatia umaarufu na heshima kubwa katika soka ni Zinedine Zidane na Ronaldinho ambao uwezo wao umeifanya dunia ya soka kutokusahau mchango wao, Zidane ni mahiri katika kucheza mpira na kufanyia mbwembwe kama ilivyo kwa Ronaldinho. Naomba nikusogezee video yao kila mmoja akionesha uwezo wake katika soka, mtu wangu wa...

waliotembelea blog