Monday, August 25, 2014

1 (13) 
Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Tropical. 2 (12) 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), akisalimiana na mwanasoka bora  mstaafu wa timu ya Real Madrid, Fernando Sons (kushoto), baada ya kufika na wenzake kuzindua duka jipya la vifaa vya umeme la Tropical lililopo maeneo ya Victoria Kinondoni Dar es Salaam jana. Katikati ni Christian Karembeu. 3 (11)Wakurugenzi wa Kampuni ya Tropical wakiwa na wacheza hao wakati wa sherehe hizo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Aloyce Ngowi na Kulia ni Meneja Mkuu, Charles Mlawa. 4 (9) 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto), akiwa na wageni waalikwa. Wa pili kushoto ni Balozi wa Zambia nchini. 5 (6) 
Warembo watoa huduma katika duka hilo wakiwa katika picha ya pamoja. 6 (1) 
Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakipiga picha na wachezaji hao.


Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa

Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki

Wadau nao walikuwepo kupata selfie ya Globu ya jamii ndani ya Fiesta.

Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.

Kwa jijna la Kisanii anajiita Vmoney a.k.a Vanessa Mdee akiimba kwa hisia jukwaani

Ommy Dimpoz akiimbajuukwani wimbo wake wa Nani kama Mama

Ommy Dimpoz na vijana wake wakilishambulia jukwaa.

Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!


Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta

Msanii wa muziki wa kizazi ajulikanae kwa jina la Khadija Maumivu akiiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mkoani Tanga lililofanyika mwishoni mwa wiki.

Anajiita Rais wa Manzese,Madee akiwaimbisha wakazi wa jiji la Tanga waliojoitokeza kwenye tamasha la Fiesha mkoani Tanga mwishoni mwa wiki.

Sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesha mwishoni mwa wiki.


Pichani kati ni msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linah akiwa sambamba na madansa wake wakilishambulia jukwaa,mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Tanga (hawapo pichani) waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mwishoni mwa wiki.

Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa

Umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kupata burudani safi wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki.

Ilikuwa ni Sheeddaah kwa wakazi wa jiji la Tanga ndani ya uwanja wa Mkwakwani mwishoni mwa wiki.

Rachae akiiimba jukwaani.

Sehemu ya umati mkubwa wa watu ukifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya uwanja wa Mkwakwani wakati tamasha la Fiesta 2014 likiendelea

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Rachael akionesha umahiri wake wa kucheza na kuimba mbele ya umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga (hawapo pichani ) kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Khadija Mumivu, akikonga nyoyo za mashabiki walioingia katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki.

Kwa jina la kisanii anaitwa MO MUSIC akiwakuna wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Fiesta lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Tanga

Mmoja wa wasanii wa kundi la ngoma asili ya Baikoko toka mjini Tanga akiwajibika jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014

Umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kupata burudani safi wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyoka mwishoni mwa wiki.

Sehemu ya watazamaji wakiendelea kutazama yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha hilo mwishoni mwa wiki mjini Tanga.PICHA ZOTE NA MICHUZIJR-FIESTA TANGA.

Sunday, August 24, 2014



Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania 11


Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends.

Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.

Hekaheka langoni mwa Tanzania.

Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza.

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' mara baada ya mchezo.

Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete.

Nzuri sana........

Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga 'hat trick' katika mchezo huo.

Beki wa timu ya Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa akichuana na mshambuliaji wa Real Madriad Legends, Luis Figo wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania 11 wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akimiliki mpira mbele ya beki wa Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Everton wakipongezana baada ya kupata bao zao mbili za kipindi cha kwanza.Seamus Coleman Dakika ya 19 kipindi cha kwanza aliwapachikia Everton bao la kwanza nakufanya 1-0 dhidi ya Arsenal baada ya kulishwa mpira na Gareth Barry. 
Dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza Steven Naismith aliwafungia bao la pili Everton na kufanya 2-0 dhidi Gunners baada ya kazi nzuri ya Romelu Lukaku kutoa pasi.
Arsenal wamefunga bao lao dakika ya 83 kupitia kwa Aaron Ramsey baada ya kupata krosi safi kutoka kwa Santi Cazorla iliyowapita mabeki wa Everton. Bao la kusawazisha Arsenal limefungwa dakika ya 90 na Olivier Giroud akisaidiwa na Monreal.
You might also like:

 


Taswira kamili Uwanja wa taifa Jijini Dar es selaam.
MBELE ya Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Leo kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Malejendari wa Real Madrid waliwachapa wenzao wa Tanzania Bao 3-1 kwenye maalum ya Kirafiki iliyohudhuriwa na Washabiki wengi.
Bao zote za Real zilifungwa na Kiungo wao wa zamani Reuben de La Red, mwenye Miaka 29, ambae alilazimika kustaafu Soka Mwaka 2010 baada ya kupata matatizo ya Moyo.
Bao pekee la Tanzania lilikuwa ni la kujifunga wenyewe Real kupitia Roberto Rojas.
Mechi hii ya Kirafiki ilipambwa hasa na Mkongwe Luis Figo ambae aling’ara na kwenye Kiungo cha Real, Christian Karembeu, alionyesha bado wamo.
Kwa upande wa Tanzania Makipa Mohammed Mwameja, aliecheza Kipindi cha Kwanza, na Peter Manyika, aliecheza Kipindi cha Pili, walionyesha ustadi wao lakini ni Kali Ongala ndie alikuwa Nyota kwa Mpira wake wa akili.
Hadi Mapumziko, Timu hizi zilikuwa Sare kwa Bao 1-1.
Kipindi cha Pili, Real walipiga Bao 2 zaidi na moja likiwa Penati iliyosababishwa na Habib Kondo.Mdau wa bukobasports.com Willy Kiroyera (kulia, akiwa ametokelea akiwa na marafiki zake wakiwa tayari kushuhudia kipute cha Tanzania Eleven na Magwiji wa Real Madrid leo Kipute kikiendelea Uwanjani kipindi cha kwanza ambapo Tanzania walikuwa sare ya 1-1Nyomi...Mashabiki walijitokeza kwa wingi kushuhudia kipute hicho kilichomalizika kwa bao 3-1 Tanzania wakichapwa na Mchezaji mmoja wa Real aliyetupia hat-trick. Moja likifungwa kwa mkwaju wa penati.

waliotembelea blog