Wednesday, May 14, 2014


FERNANDO TORRES
FERNANDO TORRES AKIWA NA KIATU CHA DHAHABU BAADA YA KUIBUKA MFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA YALIYOFANYIKA MWAKA 2010 NCHINI AFRIKA YA KUSINI

Mchezaji aliyepoteza uelekeo katika klabu ya chelsea fernando torres amejumuishwa katika kikosi cha awali cha uhispania kitakachoshiriki mashindano ya kombe la dunia nchini brazil mwezi wa sita 2014.

Tuesday, May 13, 2014

http://www.whoateallthepies.tv/samir%20nasri.jpg 
KIUNGO wa Manchester City, Samir Nasri ameachwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil. Nasri alitarajia kuachwa na kocha Didier Deschamps baada ya Raphael Varane kukabidhiwa nafasi yake. Franck Ribery, Karim Benzema, Patrice Evra, Paul Pogba na Yohan Cabaye wote wamejumuishwa. Kikosi kizima hiki hapa Walinda Mlango: Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille), Mickeal Landreau (Bastia) Walinzi: Raphael Varane (Real Madrid ), Mamadou Sakho (Liverpool ), Mathieu Debuchy (Newcastle), Laurent Koscielny (Arsenal ), Lucas Digne (Paris), Eliaquim Mangala (Porto), Bacary Sagna (Arsenal), Patrice Evra (Manchester United) Viungo: Yohan Cabaye (PSG), Paul Pogba (Juventus), Blaise Matuidi (PSG), Moussa Sissoko (Newcastle), Clement Grenier (Lyon), Rio Mavuba (Lille), Mathieu Valbuena (Marseille). Washambuliaji: Karim Benzema (Real Madrid), Franck Ribery (Bayern Munich), Antoine Griezmann (Real Sociedad), Olivier Giroud (Arsenal), Loic Remy (Newcastle) Reserve list: Remy Cabella (Montpellier), Maxime Gonalons (Lyon), Alexandre Lacazette (Lyon), Loic Perrin (Saint-Etienne), Stephane Ruffier (Saint-Etienne), Morgan Schneiderlin (Southampton), Benoit Tremoulinas (Saint-Etienne).


404372_heroaCARLOS Tevez ameachwa kwenye kikosi cha awali cha kocha  wa Argentina,  Alejandro Sabella kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil.
Mshambuliaji huyo wa  Juventus licha ya kuonesha kiwango kizuri katika ligi ya Seria A, bado hajamshawishi Sabella kuingizwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa kwenda nchini Afrika kusini.
Franco Di Santo, Rodrigo Palacio na nahodha Lionel Messi wataongoza safu ya ushambuliaji, wakati huo huo mchezaji anayecheza kwa mkopo, Atletico Madrid ,  Jose Sosa  ameitwa katika kikosi hicho.
Kikos kizima hiki hapa:
Walinda mlango: Sergio Romero (Monaco*), Mariano Andujar (Catania*), Agustin Orionu (Boca)
Walinzi: Ezequiel Garay (Benfica), Federico Fernandez (Napoli), Pablo Zabaleta (Manchester City), Marcos Rojo (Sporting), Jose Maria Basanta (Monterrey), Hugo Campagaro (Inter), Nicolas Otamendi (Atletico Mineiro*), Martin Demichelis (Manchester City), Gabriel Mercado (River), Lisandro Lopez (Getafe*)
Viungo: Fernando Gago (Boca*), Lucas Biglia (Lazio), Javier Mascherano (Barcelona), Ever Banega (Newell’s*), Angel Di Maria (Real Madrid), Maximiliano Rodriguez (Newell’s), Ricardo Alvarez (Inter), Augusto Fernandez (Celta), Enzo Perez (Benfica), Jose Sosa (Atletico Madrid*), Fabian Rinaudo (Catania)
Washambuliaji: Sergio Aguero (Manchester City), Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain (Napoli), Ezequiel Lavezzi (Paris Saint-Germain), Rodrigo Palacio (Inter), Franco Di Santo (Werder Bremen)

Friday, May 9, 2014



Screen Shot 2014-05-09 at 6.19.50 PM 
Ni abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014 ambapo lilipofika Msata karibu na daraja la Wami lilipata ajali baada ya kupasuka tairi la mbele kushoto na kisha kupinduka.


Lionel-Messi-v-Athletic-Bilbao_3128305LIONEL Messi amechukizwa na tabia ya vyombo vya habari kuzungumzia hatima yake katika klabu ya Barcelona na kusisitiza kuwa hawatachia taji la La Liga msimu huu.
Tetesi zilizoenea katika vyombo vya habari nchini Hispania zinasema kuwa nyota huyo raia wa Argentina anaweza kuondoka Camp Nou.
Messi aliyeshinda mataji sita ya La Liga na matatu ya UEFA amesisitiza kuwa ana furaha kubwa Barcelona na hataondoka majira ya kiangazi.
Hata hivyo kuna taarifa kuwa siku chache zijazo Messi atasaini mkataba mpya utakaomuweka kwa wakatulanya hao mpaka mwaka 2019.
Nyota huyo mwenye miaka 26 amejiweka mbali na tetesi hizo na kusisitiza kuwa kwasasa anafikiria namna ya kuisaidia Barcelona kushinda mechi zake mbili zilizosalia msimu huu.
Messi amekaririwa na gazeti la Marca, akisema: “Wamesema mambo mengi kwa mwaka huu”.
“Habari nyingi zimezungumzwa, nyingi ni uongo. Niko sawa”.
“Kwasasa tumekuwa nafasi nzuri zaidi ,” aliongeza Messi. “Tunaona uwezekano wa kubeba taji upo, lakini itategemeana tutafanya nini”.
“Tutaitumia nafasi hii na hatutaiacha iende”.
Barcelona wamebakiza mechi dhidi ya Elche na vinara Atletico Madrid.



Staa wa Number One aliyejinyakulia tuzo saba (7) katika Kilimanjaro Tanzania Music Awards wikiendi iliyopita, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anawania tuzo za MTV katika vipengele viwili Best Collaboration akimshirikisa msanii Davido kutoka Nigeria katika wimbo wa Number One Remix na Best Male.


Goalkeepers: Julio Cesar (Toronto FC, on loan from QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro)

Defenders: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli), Maxwell (PSG).

Midfield: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho (Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan).

Attackers: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Hulk (Zenit St Petersburg), Jo (Atletico Mineiro).

Advantage: Brazil are favourites to win the World Cup on home soil this summer
The big one: The World Cup begins in Brazil on June 12, finishing on July 13 with the final

waliotembelea blog