Wednesday, October 26, 2016

English Football League Cup, Football League Cup - Fourth Round VIKOSI: Man Utd wanaoana XI: De Gea, Valencia, Rojo, Blind, Shaw, Carrick, Ander Herrera, Mata, Pogba, Rashford, IbrahimovicAkiba: Depay, Lingard, Young, Romero, Fellaini, Schneiderlin, DarmianMan City: Caballero, Maffeo, Otamendi, Kompany, Clichy, Garcia, Fernando, Sane, Jesus Navas, Iheanacho, NolitoAkiba: Sterling, Gundogan,...

Monday, October 24, 2016

Wafungaji ni Pedro mapema dakika ya (1') kaifungia bao la kuongoza Chelsea huku bao nyingine zkifungwa na Gary Cahill dakika ya (21'), Eden Hazard dakika ya (62') kipindi cha pili. N'Golo Kanté dakika ya (70') na mtanange kumalizika kwa bao 4-0 dhidi ya Mashetani wekundu ambao kwa sasa wanaongozwa na Kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho. ...

Saturday, October 8, 2016

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016. Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa...

waliotembelea blog