Friday, July 31, 2015

Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi. Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya ligi hiyo, lakini wachezaji wapya wa Liverpool Christian Benteke na kiungo Mbrazil Firmino wameonyesha wamepania kuiletea klau yao mambo mazuri. Katika mazoezi ya Liverpool, wachezaji hao na wenzao wamekuwa wakifanya kila kitu kwa juhudi na kuonyesha kupanga kuleta...

Thursday, July 30, 2015

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam. Mke...
Licha ya kuhuzunishwa kufungwa 2-0 na Paris Saint-Germain huko Soldier Field, Chicago, USA, Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ameridhika na Timu yake na kudai kufungwa huko kutawasaidia. Kipigo hicho kimeifanya Man United washindwe kutetea Taji la International Champions Cup licha ya kushinda Mechi 3 ikiwemo ile waliyowatwanga 3-1 Mabingwa wa Ulaya Barcelona. Lakini Van Gaal...
Wakati klabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya Ufaransa ikizidi kusisitiza kuwa uhamisho wa mchezaji wa Manchester United Angel Di Maria kwa asilimia kubwa umekamilika, kocha wa Manchester United Louis van Gaal amezungumza kitu cha kushangaza kidogo kuhusiana na Di Maria. Di Maria alishindwa kuripoti July 25 San Jose kujiunga na timu na kuanza mazoezi ya...
Msanii maarufu wa Hip Hop Marekani Tyga ameingia kwenye headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii huyo yupo matatani kufukuzwa kwenye nyumba yake iliopo Calabasas kwa kukwepa kulipa kodi ya nyumba hiyo kwa miezi miwili. Nyumba hiyo ni nyumba aliyokuwa akiishi na aliyekuwa girlfriend wake Blac Chyna na thamani ya kodi ya nyumba hiyo ni dola 25,ooo kwa mwezi sawa na Mil.50 za Kitanzania,...

Wednesday, July 29, 2015

Manchester United wameshindwa kutetea Taji lao la International Champions Cup baada ya kufungwa 2-0 na Paris Saint-Germain kwenye Mechi yao ya mwisho Usiku wa kuamkia Leo huko Soldier Field, Chicago, USA na kuiacha PSG ikibeba Kombe hilo.PSG walifunga Bao lao la kwanza katika Dakika ya 25 baada Mpira mrefu kutoka kwa Silva kumkuta Kipa David De Gea akiwa nafasi ovyo na Blaise Matuidi...
Mbwana Samatta ni mshambuliaji wa kimataifa kutokea Tanzania anaeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo alijiunga nayo mwaka 2011 akitokea Simba ya Tanzania na mpaka sasa amekua mmoja kati ya wachezaji mahiri wanaounda safu imara ya ushambuliaji kwa TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania. Samatta aliingia kwenye headlines siku kadhaa zilizopita baada ya kukataa...
NYASI za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho zitakanyagika kwa mchezo wa miamba ya Jiji, Azam FC na Yanga SC katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame. Itakuwa mara ya pili, Yanga SC na Azam FC kukutana katika Kombe la Kagame, baada ya mwaka 2012 kukutana katika fainali pale pale Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam. Ilikuwa Julai 28, mwaka 2012 katika mchezo...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali...

waliotembelea blog