
Arsenal Jack Wilshere atakuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitatu baada ya kufanyiwa operesheni ya enka yake hii Leo. Wilshere aliumia Jumamosi iliyopita wakati Arsenal inachapwa Bao 2-1 na Manchester United Uwanjani Emirates. Habari
hizi za operesheni ya Wilshere zimethibitishwa na Arsenal na mwenyewe
Wilshere aliposti Picha yake Mtandaoni akiwa Kitandani baada ya
kufanyiwa hiyo operesheni....