Tuesday, August 13, 2013

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai na tumuombe atuzidishie moyo wa upendo ili tuwe na amani katika nchi zote hasa za  Afrika Mashariki.Hakuna shaka yoyote nikisema kwamba uhai na ustawi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) upo mashakani kutokana na viongozi wa nchi hizo kuonesha kutoshikamana.Inanikumbusha mwaka 1977, EAC iliposambaratika na kutokana na itikadi za kisiasa...
Chuo kilichopo mji wa Nsuka kimeshuhudia tena mauaji ya kikatili ya dereva wa tipa ambae amewapa mimba mjane na mtoto wake. Ripoti inasema dereva huyo amechomwa moto na mtoto wa kiume wa mjane huyo,Sunday Ugwoke.  Kutokana na habari zilizokusanywa  Sylvester Ezema alikuwa amejishikiza kwenye kampuni ya Ferguso Nig. Limited huko Akpa Edem na alikokuwa anaishi  alikuwa anashea...
  PICHA ya staa wa filamu, Hisani Muya ‘Tino’ na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Hellen mkazi wa Arusha imezua utata ikidaiwa kuwa wawili hao huenda wakawa na uhusiano.  Hisani Muya ‘Tino’ katika pozi tata na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Hellen. Chanzo kilichoipenyeza picha hiyo kimeitonya Stori 3 kuwa, Hellen aishiye jijini Arusha amekuwa akiwatambulisha mashosti zake...

Wednesday, August 7, 2013

Diamond Platnums akiwa ni miongoni wa abiria waliokwama kutokana na uwanja huo kulipuliwa, ameiambia millardayo.com kwamba imebidi abiria wapelekwe hotelini na kuambiwa inawezekana ndege zikaanza kuruka saa moja au saa mbili usiku leo ambapo taarifa walizozisikia ni kwamba ni shambulio la bomu. Bado tunaendelea kuwa karibu na vyanzo ili kupata info zaidi lakini kwa sasa ni kwamba...
Reports are coming in through the Kenya Red Cross, the country’s foremost emergency response organization, that a major fire is raging at Jomo Kenyatta International Airport. Courtesy of twitter picture via this tweet: ‘FIRE reported at Jomo Kenyatta International Airport #Nairobi via #iVolunteer @decibyte ^PO’ this is the first available image of the raging inferno,...
Katibu mkuu wa Baraza la wazee Ibrahim Akilimali (katikati) akiongea na waandishi wa habari le makao makuu ya klabu, kushoto kwake ni mzee Bilal Chakupewa na kulia kwake ni mzee Jabir Katundu Uongozi wa klabu ya Young Africans umetangaza mkutano mkuu wa dharura wa wanachama wote utakaofanyika tarehe 18.08.2013 katika ukumbi wa PTA sabasaba eneo la mtoni jijini Dar es salaam. Akiongea na waandishi...
 Ni mwili wa marehemu Tumaini mzibua mitaro ya maji machafu kashai amekutwa kafariki katika mtaro wa kashai maeneo ya kiwanda cha pepsi zamani,chanzo cha kifo chake hakijafahamika                                               umati wa watu waliokuja kushuhudia tukio...
Usher and Jay-Z Illuminati/Kabbalah rapper, Jay-Z, is so very desperate for attention and money. So much so the unscrupulous rapper made an appearance in public wearing a blasphemous t-shirt said to feature Satan having sex with Jesus. People need to stop supporting this man. All he's doing is exposing you and your kids to toxic trash. Rapper Young Jeezy wearing the same sacrilegious...

Tuesday, August 6, 2013

Usagaji (lesbianism) ni tabia ya wasichana/wanawake kujiridhisha kimapenzi wenyewe pasi kuhitaji kuridhishwa na mwanaume. Wasichana hawa hutumia vidole, ulimi na hata sex toys (dildo) kama zana wakati wa kufanya tendo hilo. Wengi wa wasichana wanaojihusisha na tabia hiyo hufurahia zaid tendo hilo tena kuliko hata wakifanya na wanaume na hivyo kuwafanya wajione kwamba hawana sababu ya kuwa...
Chokochoko  zinazoendelezwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame (pichani) dhidi ya Rais Jakaya Kikwete zimewakasirisha baadhi ya wananchi wakiwemo askari wa Tanzania na wakadai kuwa kiongozi huyo wa Rwanda atakiona cha moto akianza uchokozi.Wakizungumza na gazeti  la UWAZI  mwishoni mwa wiki iliyopita kwa sharti la kutoandikwa majina yao gazetini, baadhi ya askari walisema wanamshangaa...

waliotembelea blog