Monday, April 20, 2015


 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kumtangaza mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, Mayunga Nalimi (katikati), katika tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia),
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akimkabidhi tuzo mwimbaji Mayunga Nalimi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, katika tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia), ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso.

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akimpongeza mwimbaji Mayunga Nalimi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, katika
tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia), ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso.


Waziri mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Waziri mkuu Msaatfu Fredirick Sumaye akikimbia sambamba na rais wa shirikisho la riadha Tanzania,RT,Athony Mtaka(Kushoto kwake) mkuu wa mkoa wa Arusha ,Daud Ntibenda,pamoja na mkuu wa wilaya ya Karatau Omary Kwaang kuashiria kuanza kwa mbio za Ngorongoro Marathoni.
Maratibu wa Mbio ,Meta Paul akiwa na mmoja wa wasiamamizi ,Leila wakati wakiwaandaa wanariadha kuanza mbio za Km 21 katika lango la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Mbio zikianza rasmi.
Baaadhi ya washiriki katika mbio hizo ,walikuwemo pia wadhamini kama Maremga Investment,hapa Marenga mwenye truck suit nyeusi akijaribu kukimbiza upepo.
Awawli mbio zikiwa bado ndio zimeanza kundi la wakimbiaji lilionekana wote wanakimbia kwa karibu.



You chose Mayunga Nalimi! Tanzania's contestant seduced you and the judges Akon, Lynnsha and Devyne Stephens. After a finale full of unexpected developments, Mayunga has been one of the only to keep his calm during his performances. That's probably why he fainted just after he heard final verdict!

Mayunga Malimi has quickly attracted judges' eyes with great live and acapella performances. He also took advantage of Laurna and Jitey failures in the last round of the finale to take the title back home.
He will now join Akon in the studio to work on his first single.


Harry Kane celebrates scoringHarry Kane jana alifunga bao lake la 20 dhidi ya Newcastle UnitedHarry Kane jana alifunga bao lake la 20 dhidi ya Newcastle UnitedS

 WANAOONGOZA KWA KUFUNGA BAO EPL KWA SASA:

RankPlayerGoals
1Harry Kane20
1Sergio Agüero20
3Diego Costa19
4Charlie Austin17
5Alexis Sánchez14
5Olivier Giroud14
7Eden Hazard13
8Saido Berahino12
8Wayne Rooney12
10David Silva11

Sunday, April 19, 2015


Harry Kane celebrates scoringHarry akituma salaam kwa mashabikiHarry Kane scoresKane akifunga baoNacer Chadli dakika ya 30 aliifungia bao la kuongoza Spurs kwa kufanya 1-0 dhidi ya Newcastle United.Jack Colback celebrates with team mates after scoring
Kipindi cha pili dakika ya 45 walifanya mabadili kwa makini kwa
Sammy Ameobi kumbadili Yoan Gouffran na Gabriel Obertan kumbadili Mehdi Abeid na kupata bao dakika ya mapema bao la kusawazisha katika dakika ya 46 kwa kufanya 1-1 bao lililofungwa na Jack Colback.

Jack Colback reacts during the match
Dakika ya 53 Spurs walipiga mpira wa adhabu frii kiki na kuzama moja kwa moja ndani ya lango la Newcastle United na kujipatia bao la kuongoza la pili, Frii kiki iliyopigwa na Christian Eriksen na kufanya 2-1.

Christian Eriksen celebrates with team mates after scoring
Bao la mwisho la tatu kwa Spurs lilifungwa na Staa wao wa mabao Harry Kane katika dakika ya majeruhi na mtanange kumalizika kwa 3-1 dhidi ya Newcastle United. Harry Kane akifikisha jumla ya mabao 20 msimu huu.Tim Krul watches Christian Eriksen's freekick go in his goalUshindi huu wa Tottenham umewapandisha hadi Nafasi ya 6 wakifungana Pointi na Liverpool walio Nafasi ya 5 wote wakiwa Pointi 7 nyuma ya Timu ya 4 Man City.Christian Eriksen scores with a freekickJack Colback and Ayoze Perez prepare to restart after conceding the first goalMaelfu ya Mashabiki wao wakigomea kuhudhuria Mechi ya Timu yao Newcastle ilipocheza Uwanjani kwao Saint James Park dhidi ya Tottenham wakionyesha mshikamano wa kumpinga Mmiliki wa Klabu yao, Mike Ashley, Tottenham haikuwa na huruma ilipowashindilia Bao 3-1 katika Mechi ya Ligi Kuu


Liverpool wakiongozwa na Nahodha wao Steven Gerrard ambae Leo ni kumbukumbu ya Siku yake ya Kuzaliwa, ndio waliotangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 30 la Philippe Coutinho aliepokea pasi ya Raheem Sterling lakini Dakika 6 baadae Straika wa Aston Villa Christian Benteke alisawazisha Bao hilo baada ya kuikamata pasi safi ya Fabian Delph.Kipindi cha pili dakika ya 54 Fabian Delph aliwafungia bao la pili Aston Villa na kufanya 2-1.
Coutinho dakika ya 30 anaipachikia bao la kuongoza Liverpool kwa kufanya 1-0 dhidi ya Aston Villa.Gerrard akipagawa bada ya kipigo hicho.Steven GerrardNi Homa ya kipigo cha Nusu Fainali WembleyChristian Benteke aliisawazishia bao Aston Villa kwa kufanya 1-1 katika kipindi hicho cha kwanza dakika ya 36.Christian Benteke celebrates after scoringChristian Benteke celebrates scoring their first goalChristian Benteke celebrates after scoringChristian Benteke celebrates Aston Villa's first goalChristian Benteke celebrates his equalising goalChristian Benteke scoresRaha ya kupata bao
Hadi Mapumziko Aston Villa 1 Liverpool 1
Kipindi cha Pili, Dakika ya 54, Fabian Delph alianzisha muvu safi na kumpa Benteke aliemsogezea Grealish aliemrudishia Fabian Delph na kupiga Bao la Pili safi na la ushindi.
Fainali ya FA CUP itachezwa Mei 30 Uwanja wa Wembley.
Philippe Coutinho celebrates with team mates after scoringPhilippe Coutinho celebrates after putting Liverpool aheadPhilippe Coutinho celebrates after scoring the first goalPhilippe Coutinho celebrates after scoring the first goalPhilippe Coutinho scores the first goalPhilippe Coutinho scores the first goal for LiverpoolPhilippe Coutinho shoots and scores past Shay Given

Sergio Ramos kaifungia bao dakika ya 24 kipindi cha kwanza kufanya 1-0 dhidi ya Malaga.

Kipindi cha pili dakika ya 69 James Rodríguez aliifungia bao la pili Real Madrid huku Cristiano Ronaldo akimaliza mchezo huo kwa kufunga bao dakika za majeruhi bao la tatu kwa 3-1 dhidi ya Malaga na kwenye Dakika ya lala salama dakika ya 90.
Ronaldo pia alikosa mkwaju wa penati kipindi cha pili katika mchezo huu wa leo dhidi ya Malaga. Bao la pekee la Malaga lilifungwa na Juanmi dakika ya 71.

waliotembelea blog