Friday, August 29, 2014

KUNDI A  Atletico Madrid  Juventus  Olympiakos  Malmo  KUNDI B  Real Madrid  Basle  LIVERPOOL Ludogorets  KUNDI C  Benfica  Zenit St Petersburg  Bayer Leverkusen  Monaco  KUNDI D  ARSENAL Borussia Dortmund  Galatasaray  Anderlecht  KUNDI E  Bayern Munich MANCHESTER CITY CSKA Moscow  Roma  KUNDI...
UEFA Leo imempa Tuzo yao ya Mchezaji Bora wa Mwaka Cristiano Ronaldo baada ya kuwabwaga kwenye Kura Kipa wa Mabingwa wa Dunia Germany, Manuel Neuer na Mchezaji mwenzake wa Klabu ya Bayern Munich anaechezea Holland, Arjen Robben.Ronaldo, Miaka 29, alifunga Bao 17 katika Mechi 11 za Ulaya wakati Real Madrid inaelekea kutwaa Taji lao la 10 la Ulaya walipobeba Kombe la UEFA CHAMPIONS LIGI...
DROO ya Makundi ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika leo hii usiku  huko Monaco na Timu 4 za England, Manchester City, Liverpool, Chelsea,na Arsenal zimepata timu za kucheza nazo. Taswira huko MonacoRonaldo Mchezaji Bora 2014 Ulaya.Ronaldo akibusu tuzo yake yake baada ya kuchaguliwa mchezaji boraRonaldo amewabwaga chini wachezaji wa Bayern Munich kipa Manuel Neuer na Arjen RobbenMchezaji ...
KEPTENI wa Manchester United Wayne Rooney ndie ameteuliwa Nahodha mpya wa England na Meneja wa Timu Roy Hodgson. Rooney, mwenye Miaka 28, anachukua wadhifa huo kutoka kwa Steven Gerrard wa Liverpool ambae amestaafu kuichezea England mara baada ya Nchi hiyo kutolewa hatua ya Makundi ya Fainali za Kombe la Dunia Mwezi Juni huko Brazil. Rooney ameichezea England mara 95 na kufunga Bao 40...
Emanuel Okwi wa Uganda ambaye msimu uliopita alikuwa anaichezea Yanga, akiwa na jezi namba 25 aliyokabidhiwa mara baada ya kusaini tena Simba baada ya kukachwa na Yanga katika usajili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inayotarajia kuanza mwezi ujao. Yametimia, hatimaye Emmanuel Okwi amerejea katika kikosi chake cha zamani cha Simba. Okwi rasmi anasaini leo kujiunga na Simba...

Thursday, August 28, 2014

  Toka nimeanza kuandika na kufatilia habari sijawahi kusikia jeshi la nchi limechukua hatamu kuendesha mashindano ya urembo tena mashindano yanayokutanisha warembo kutoka sehemu mbalimbali za taifa ili kumtafuta mshindi. Stori hii ya kipekee inatokea Uganda ambapo jeshi la nchi hiyo limeamua hivyo baada ya kuona ubabaishaji unaofanywa na Waandaaji wa Miss Uganda shindano ambalo...
Siku kadhaa baada ya Frank Lampard kutangaza kustaafu soka la kimataifa – jana ilikuwa siku nyingine kwa wanasoka wawili wa kimataifa barani nao walitangaza uamuzi wa kuachana na soka la kimataifa. Samuel Eto’o na Xabi Alonso kwa wakati tofauti jana walitumia mitandao ya kijamii kutangaza uamuzi wao wa kuachana na soka la kimataifa. Alianza Xabi Alonso kupitia mtandao wa Twitter...
Wiki kadhaa baada ya kuteuliwa kuwa nahodha mpya wa Manchester United, mshambuliaji Wayne Rooney leo amepata uongozi mpya kwenye medani za soka. Rooney ameteuliwa na kocha Roy Hodgson amemteua mshambuliaji huyo kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa. Rooney mwenye miaka 28 amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu. Rooney aliwahi kuvaa kitambaa...
Serengeti fiesta Moshi wapewa fursa ya kuonja radha Mhehimiwa Temba ametangaza rasmi kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “Wazee wa jiji” jumamosi hii. Serengeti fiesta Moshi wamepewa fursa ya kuonja radha ya wimbo huo siku ya Jumamosi katika uwanja Majengo Jijini humo. Mheshimiwa Temba ambaye ni mzawa wa jiji hilo anatarajia kutumia fura ya Serengeti fiesta Moshi kuuzindua...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea...
Ethiopia na Kenya zimetangaza niya ya kutaka kuwa wenyeji wa kombe la mataifa bingwa barani Afrika mwaka wa 2017 baada ya Libya kujiondoa.Libya ilitangaza kauli hiyo baada ya mapigano kuchacha baina ya makundi mawili hasimu yaliyowanyima waandalizi fursa ya kujenga viwanja vipya vya mashindano hayo.Ethiopia, ambayo imewahi kuwa mwenyeji wa mashindano hayo katika miaka ya 1962, 1968 na...

waliotembelea blog