Saturday, April 26, 2014

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50. Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa...
 Waziri Mkuu na Mgeni Rasmi wa Mkesha wa Muungano Mizengo Pinda akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kuongoza mamia ya wananchi waliohudhuria kwenye mkesha huo.Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana na kulia kwake ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Iddi   Wageni waaliwa ikiwemo...
Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo...
Vijana wakiwa kwenye matembezi ya Uzalendo yalioratibiwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano ambapo vijana hao walianzia matembezi kutoka ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Temeke mpaka kwenye viwanja vya sabasaba na kulakiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza...
Kocha wa zamani wa timu ya Barcelona Tito Vilanova amefariki dunia usiku huu akiwa hospitarini alipokuwa amerazwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani ya koo.(AWADH...
Sherehe za kuhadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyozaa nchi ya Tanzania zimefanyika leo mjini Dar es Salaam na kupambwa kwa maonyesho mbali mbali ya kijeshi pamoja na halaiki zilizoandaliwa na watoto.Marais wanne wa nchi za Afrika Afrika Mashariki akiwemo Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi ni miongoni...

Tuesday, April 22, 2014

UEFA CHAMPIONS LIGI, LEO Jumanne na Jumatano Usiku zitakuwa na Mechi zake za Kwanza za Nusu Fainali huko Jijini Madrid Nchini Spain. LEO Jumanne, ndani ya Estadio Vicente Calderon, Vinara wa La Liga, Atletico Madrid, wataikaribisha Chelsea ya Engand.Siku ya Pili yake, yaani Jumatano Usiku, huko Santiago Bernabaeu, Real Madrid watakuwa Wenyeji wa Mabingwa Watetezi wa UCL, Bayern Munich. ATLETICO...
Hatimaye kocha Manchester United David Moyes amefukuzwa kazi, miezi 10 baada ya kumrithi Sir Alex Ferguson.United jana waligoma kuthibitisha kuhusu ripoti kwamba Moyes angefukuzwa mwishoni mwa msimu.Moyes, 50, alichaguliwa na Sir Alex Ferguson kumrithi wakati kocha huyo mwenye 72, alipoamua kustaafu baada ya miaka 26 mwaka jana baada ya ligi kuisha.Moyes aliondoka Everton na kusaini mkataba...

Saturday, April 19, 2014

...

waliotembelea blog